-->

Daily Archives: September 29, 2016

Nay wa Mitego Awachana Tena Wenzake

Post Image

Rapa Nay wa Mitego ambaye kwa sasa anafanya vyema na ngoma yake ‘Saka hela’ amefunguka na kusema kuwa amegundua kwenye muziki wa bongo fleva saizi kuna wasanii wengi maboya akimaanisha washamba. Nay wa Mitego alisema hayo kupitia kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ kinachorushwa na EATV na kudai mwanzo walikuwepo wasanii wawili maboya lakini saizi amegundua […]

Read More..

Diva: Nachaji Milioni 3.5 kwa Appearance Tu

Post Image

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amewataka mastaa wa Tanzania kutambua thamani ya brand zao na kuacha kujichukulia poa. Amedai kuwa mastaa wengi wamekuwa wakitumika bure kufaidisha watu wengine na anadhani ni muhimu wakaacha kujishusha kiasi hicho. Anadai kwa upande wake yeye, hafanyi kitu bure na kudai kuwa hata kuonekana kwenye saa moja kwenye […]

Read More..

Ujumbe wa Wema Sepetu Kwa Wote Waliomtumia ...

Post Image

Jumatano hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa filamu Wema Sepetu ambao ndugu, jamaa pamoja na marafiki walimtakia heri na mafanikio mrembo huyo. Moja kati ya vitu ambavyo vilileta gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni baada ya mama Diamond kum-wish malkia huyo wa filamu huku akimkaushia Zari ambaye ni mama watoto wa Diamond. […]

Read More..

Muhogo Mchungu: Jamani Mimi Sijafa wala Siu...

Post Image

Muigizaji mkongwe kwenye tasnia ya filamu nchini Abdallah Makumbila alimaarufu kama Muhogo Mchungu amekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki na kusema kuwa yeye saizi hasumbuliwi hata na mafua. Muhogo Mchungu alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Supamix cha East Africa Radio amesema kuwa kwa sasa anafanya utaratibu wa kwenda kumshtaki mtu ambaye amesambaza […]

Read More..

Nuh Mziwanda Afunguka Kuwakacha Kina Petit ...

Post Image

Msanii Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kuzinguana na uongozi wake akiwemo Petit Man ambaye anamsimamia, amesema ameamua kuachana kabisa na uongozi huo kwa mapenzi yake mwenyewe. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Nuh Mziwanda amesema ameamua kufanya hivyo kwani hana muda wa kupoteza tena, kwani meneja huyo anaonekana hana […]

Read More..