VIDEO: Alichokisema Rose Ndauka Kuhusu Mada...
Staa mrembo kutoka Bongo Movie, Rose Ndauka amelifungukia swala na madai ya kuwa bongo movie imekufa kwa kueleza kuwa bongo movie haijafa kwa sababu wapo wasanii wanafanya kazi nzuri na kuwa tatizo jamaii haitaki kuwapokea wasanii wapya. Akiongea na Ayo TV Entertainment, Rose Ndauka alifun guka kuwa anayesema Bongomovie imekufa anasambaza habari za upotoshaji tu kwa […]
Read More..





