-->

Monthly Archives: August 2017

Nimepata Pakufia- Shilole

Post Image

Msanii Shilole ‘Shishi Trump’ amefunguka kwa kudai yupo katika maandalizi yake ya mwisho ya kuolewa huku akiwasisitizia mashabiki zake kuwa safari hii hakuna maneno mengi kama zamani kwa kuwa amepata haja ya moyo wake. Shilole amebainisha hayo baada ya baadhi ya mashabiki zake kutomuamini kwa kauli zake kwa kuwa mara nyingi ameonekana kuwa mwenye ‘drama’ […]

Read More..

This is Too Much Chid Benz Ongea na Nafsi Y...

Post Image

Muziki ulimpa umaarufu kuliko matukio aliyoyafanya nje ya sanaa lakini Chid Benz yule wa mwaka 2009 siyo huyu wa 2017. Amekuwa binadamu anayesikitisha watu kuliko kuwaburudisha, bila shaka mama yake mzazi anasikia uchungu akiutazama mwenendo mbaya wa mama yake. Machi 22 mwaka jana,Babu Tale na Kalapina walifanikiwa kumfikisha, Chid Benz kwenye kituo cha Life and […]

Read More..

New Video: Rostam (Roma & Stamina) –...

Post Image

Roma na Stamina kupitia umoja wao ‘Rostam’ ameachia video ya ngoma yao mpya ‘Hivi Ama Vile’, video imeongozwa na Nicklass, audio ni Mr. T Touch.

Read More..

Alikiba kupiga tatu

Post Image

Msanii Alikiba ambaye yupo kimya kwa muda mrefu ameamua kukata kiu ya mashabiki wake na kumaliza hasira zao kwa kushusha ngoma tatu mfululizo pindi atakaporejea Tanzania kutokea nchini Marekani alipokwenda kwa ajili ya kufanya show. Siku mbili zilizopita Alikiba kupitia mitandao yake ya kijamii alianza kuweka post ambayo ilionyesha ni ishara ya ujio wake mpya […]

Read More..

Kilio chetu kimesikika- JB

Post Image

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen ‘JB amefunguka na kudai wamepata mkombozi katika usambazaji wa kazi zao za filamu huku akiwataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula wa kupokea kazi mpya kutoka kwake baada ya kukaa kimya kipindi kirefu. JB amebainisha hayo wakati akizungumza na mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa ‘Instagram Live’ na kusema baada […]

Read More..

Soma Hapa Magazeti ya leo August 19, 2017

Post Image

  Chanzo:millardayo.com

Read More..

Mr Nice: Kenya Wananipenda, Tanzania Hawani...

Post Image

MWANAMUZIKI wa miondoko maarufu kwa jina la Tanzania, Kenya na Uganda (Takeu), ambaye alijizolea umaarufu miaka ya 2000 na baadaye kupotea kidogo kutokana na sababu za hapa na pale, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ amesema kuwa anaamini kuna baadhi ya Watanzania wenzake hawampendi. Mwanamuziki huyo ambaye kwa sasa amerejea upya katika gemu, amefunguka mambo mengi katika makala haya: […]

Read More..

Snura Atoa Neno kwa Kichuya wa Simba

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Snura Mushi ambaye ni shabiki wa Simba, ameutazama mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 23 na kumtaka straika wao, Shiza Kichuya, kupambana na kuhakikisha anaitungua Yanga dakika za mwanzo. Snura amekuwa akivutiwa na straika huyo tangu alipotua Simba na kuahidi kumsapoti kila wakati timu hizo zitakapokutana. Akizungumza na MTANZANIA, Snura amemtaka […]

Read More..

VIDEO:Furaha Zatawala Mapokezi ya wanafunzi...

Post Image

Kilimanjaro. Furaha imetawala ujio wa watoto watatu wa Shule ya Lucky Vicent waliowasili leo Ijumaa, Agosti 18 wakitokea nchini Marekani kwenye matibabu baada ya kupata ajali Mei mwaka huu. Wazazi na ndugu waliruhusiwa kuingia ndani ya ndege hiyo kuwapokea watoto wao ambao wamepata nafuu kwa kiasi kikubwa. Wilson Tarimo alikuwa wa kwanza kushuka katika ndege […]

Read More..

Mzee Majuto Aanika Mafanikio Aliyoyapata kw...

Post Image

Msanii wa vichekesho Mzee Majuto amefunguka na kusema sanaa imembadilisha maisha na kudai ameweza kujenga nyumba kubwa tatu, ameweza kununua magari matano pamoja na kumiliki shamba lenye ukubwa wa ekari tano. Mzee Majuto amedai kuwa ameanza kufanikiwa katika sanaa baada ua kuanza kujitegemea mwenyewe kwenye kazi zake, hivyo amedai kwa mafanikio ambayo amepata sasa inatosha […]

Read More..

Uamuzi pingamizi kesi ya Wema kutolewa Agos...

Post Image

Dar es Salaam. Uamuzi wa kupokea au kutopokea kielelezo cha ushahidi cha msokoto mmoja wa bangi na vipisi viwili vya bangi katika kesi inayomkabili mlimbwende wa Tanzania 2006, Wema Sepetu utatolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mwisho wa mwezi huu. Hakimu Mkazi Mkuu,Thomas Simba amesema uamuzi huo ulipaswa autoe leo, lakini bado kuna tafiti […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Bifu Lake na Roma

Post Image

HIT MAKER wa ngoma inayobamba kwa sasa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’, amesema aliumizwa sana na maneno ya rapa mwenziye, Roma Mkatoliki, aliyeongea maneno ya kumkashifu mara baada ya kuibuka baada ya kutekwa kwake, miezi michache iliyopita. NAY WA MITEGO AFUNGUKA… “Roma anatakiwa ajue kwamba mimi ni mmoja kati ya wasanii ambao walishinda kutwa […]

Read More..

Jina la Mtoto wa Hamisa Mobetto Lazua Utata...

Post Image

Mtoto wa mwanamitindo Hamisa Mobetto Jumatatu hii ametimiza siku saba toka azaliwe Agosti 8 mwaka huu ambapo amepewa jina la Abdul Naseeb. Jina ambalo limeanza kumaliza maswali mengi ya mashabiki ambao walitaka kumjua baba wa mtoto huyo. Awali mrembo huyo alifungua akaunti ya Instagram kwa jina ‘Tanzania Baby’ lakini Jumanne hii alibadilisha jina na kuandika […]

Read More..

Janjaro Aanika Maisha Yake, Kuonja Penzi la...

Post Image

MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngarenaro-Arusha, Abdulaziz Chende ‘Dongo Janja’ na staa wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya. Umri wa Dogo Janja ambaye pia utakuwa hujakosea kama utamuita Janjaro umeshapita miaka 18. Ana uhuru wa kuingia kwenye masuala ya uhusiano, lakini […]

Read More..

Nikki wa Pili awapa makavu wasanii

Post Image

Msanii kutoka kampuni ya Weusi Nikki wa Pili amefunguka na kuwachana wasanii wenzake ambao wanapuuzia vikao vinavyoitishwa na kudai endapo hawatobadilika na tabia hiyo basi watambue haki zao zitachelewa kuwafikia. Nikki amebainisha hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya yeye kuchaguliwa kuwa miongoni mwa wasanii wa kusimamia mfuko wa wasanii wa bongo fleva […]

Read More..

Soma Hapa Magazeti ya Leo August 17, 2017

Post Image

  Chanzo:millardayo.com

Read More..

Mzee Majuto Atangaza Tena Kuacha Sanaa (Vid...

Post Image

Mchekeshaji na Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Alhaji Amri Athumani almaarufu Mzee Majuto ametangaza rasmi kustaafu kazi hiyo baada ya kuitumikia kwa zaidi ya ,miaka 30. Mzee Majuto amesema amechukua maamuzi hayo baada ya kuona umri unaenda na uwingi wa changamoto wa kazi hiyo hivyo ameamua arudi kwenye kilimo na kumtumikia Mungu. “Kwa sasa […]

Read More..

Napenda Kuwafunika kwa Pamba-Lulu

Post Image

MWIGIZAJI, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka na kudai kuwa, hakuna kitu anachopenda kama kutupia viwalo na kwamba, kila kunapokuwa na hafla ni lazima avunje kabati. Lulu alisema sio kwenye sherehe tu, bali hata katika kazi zake za filamu anapenda kutupia kwa sababu anapenda kuvaa na kuonekana tofauti kila mara ikiwa ni furaha yake. “Mi napenda kupendeza […]

Read More..