Diamond kuingiza sokoni albamu mpya
Mshindi wa tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki kwa miaka minne mfululizo katika tuzo za Afrimma, Diamond Platnumz ametangaza ujio wa albamu mpya aliyoipa jina la A Boy From Tandale. Hii itakuwa albamu ya tatu kwa mwanamuziki huyo, baada ya Kamwambie na Lala Salama. Taarifa zimeeleza baadhi ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye albamu hiyo ni Number […]
Read More..





