Shamsa Ford Amuweka Wazi Mpenzi wake Mpya
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego ambaye alimuweka wazi kwa jamii na kuja kuachana baada ya muda mfupi alikuwa mwoga tena kumuweka wazi mpenzi wake mpya. Shamsa Ford alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWZ na kusema kuwa alikuwa mwoga kumuweka […]
Read More..Gabo Ashushiwa Kipigo, Apoozwa kwa Msosi
STAA wa filamu za Kibongo Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ ametoboa kuwa, baba yake mzazi, mzee Ahmed alikuwa mkali sana, lakini kamwe hawezi kusahau siku alipochezea bakora za kutosha na mama yake akamtuliza kwa msosi. Akisimulia kisa hicho, Gabo ambaye amenyakua Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume kwa mwaka huu iliyotolewa na ZIFF, alisema kwa […]
Read More..Wema Sepetu: Niacheni jamani Nimechoka
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ameonesha kuchoka na maneno mbalimbali kutoka kwa watu hususani kwenye mitandao ya kijamii kiasi cha kuamua kutoa yake ya moyoni kwa watu wote ambao wamekuwa wakimfuatilia maisha yake. Ameonesha kukasirishwa na baadhi ya watuwanaomsema kwenye mitandao ya kijamii hususani kuhusu mapungufu yake. Wema Sepetu ametumia mtandao wake wa Instagram […]
Read More..Mama Diamond Anywea kwa Zari
Imevuja! Baada ya muda mrefu kusambaa kwa habari kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’, ‘haivi’ na mwandani wa msanii huyo, Zarinnah Hassan ’Zari The Boss Lady’, imedaiwa kuwa kwa sasa bi mkubwa huyo amenywea kwa kumkubali Zari. Taarifa hizo zilizopenyezwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya familia […]
Read More..Sitaki Tena Bongo Movie -Sinta
Mkali wa zamani wa maigizo, Sinta ambae alitamba na skendo kibao kipindi hicho na unaambiwa yeye ndiyo wa kwanza kuwa na skendo kubwa Bongo, amefunguka na kueleza kwa sasa ana ishu gani mjini. Sinta ambaye alikuwa pia muigizaji mahiri anasema “Kwa sasa sitaki tena kujiingiza katika bongo move najishughulisha na biashara zangu binafsi na nipo […]
Read More..Kajala Aenda Kumlilia Mumewe Gerezani!
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ hivi karibuni amekwenda kumlilia mumewe, Faraji Chambo anayetumikia kifungo cha miaka kumi na mbili gerezani. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Kajala, mwanamama huyo alitinga kwenye Gereza la Ukonga, Dar alikofungwa mumewe ambapo alipata nafasi ya kumjulia hali kisha kumwaga machozi akimuonea […]
Read More..Afande Sele Afungukia Sakata la Nay Kufungi...
Msanii Afande Sele ameonyesha kutoridhishwa na kitendo cha msanii Nay wa Mitego kufungiwa kufanya kazi za sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa muda usiojulikana mpaka atakapotimiza masharti aliyopewa na baraza hilo. Afande Sele kupitia ukurasa wake wa ‘Facebook’ amesema kuwa yeye anashangaa kuona adhabu hiyo anapewa Nay wa Mitego tu ilihali kuna wasanii […]
Read More..Chid Benz Asimulia Baada ya Kumuona Diamond...
Baada ya miezi kadhaa kutoka sober, Chid Benz jana ameachia ngoma yake mpya iitwayo Chuma aliyomshirikisha mkali wa ngoma ya Natafuta Kiki, Rayvany,kwenye kipindi cha XXL, amesimulia kwa mara ya kwanza kumuona Diamond akiwa maetoboa pua. Kama unakumbuka vizuri Diamond aliwahi kumuimba Chid Benz baada ya kutoboa pua kwenye ngoma aliyoimba na Nay Wa Mitego […]
Read More..Mimba Nusura Imutoe Roho Wastara!
Siku chache zilizopita, staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma alikiri na kufunguka kuwa ni mama kijacho baada ya kunasa ujauzito lakini taarifa za kusikitisha zilizolifikia gazeti hili mapema wiki hii zimedai kwamba, mimba hiyo imechoropoka katika mazingira ambayo yalitaka kuutoa uhai wake. Chanzo makini ambacho ni ndugu wa mwigizaji huyo kilichoomba hifadhi ya jina […]
Read More..Nay wa Mitego Afungiwa na Kupigwa Faini
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego. Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego hadi hapo litakapojiridhisha kwamba ametekeleza […]
Read More..‘Fisi’ Aliyefanya Ngono na Wato...
Raia mmoja wa Malawi alionekana katika habari moja ya BBC akihusishwa na tambiko la usafishaji wa wasichana wadogo kupitia kushiriki ngono nao amekamatwa. Eric Aniva amekamatwa kufuatia agizo la Rais Peter Mutharika kulingana na mkurugenzi wa mawasiliano katika ikulu ya rais Bright Molande aliyezungumza na BBC. Amesema kuwa Bw. Aniva aliyepewa jina la utani kuwa […]
Read More..Jay Moe Afunguka Kutoka na Shilole
Mwanamuziki rapa nchini anayetikisa kwa ngoma ya ‘Pesa Madafu’, Jay Moe amekuwa akionekana karibu sana na rapa Bilnass ambaye anatikisa na ngoma ya ‘Chafu Pozi’ kitu ambacho ni njia pekee ya Jay Moe kumpata mrembo Shilole. Baada ya kuwepo kwa tetesi za wawili hao kutoka kimapenzi na zaidi kuonekana picha wako pamoja kwenye moja ya […]
Read More..Snura Kuwafurahisha Mashabiki Mwakani
MSANII Snura Mushi ‘Snura Majanga’, aliyewahi kuwika na nyimbo mbalimbali, ameibuka na kudai kwamba ana mpango wa kutoa filamu moja mwakani. Snura alisema baada ya kuingia katika muziki amekuwa na shoo nyingi kiasi kwamba hukosa muda wa kuigiza, licha ya mashabiki wake kumtaka afanye hivyo hata kwa mara moja. “Mashabiki wangu wamekuwa wakinitaka angalau nicheze […]
Read More..Uzee Kumwachisha Bi Mwenda Uigizaji
MUIGIZAJI mkongwe kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ amefunguka kuwa anaona uzee umeshamfikia hivyo muda si mrefu ataamua kupumzika kuigiza ili afanye kitu kingine kulingana na umri wake. Akizungumza na gazeti hili, Bi Mwenda alisema amecheza filamu muda mrefu takriban miaka ishirini hivyo anaona wazi atashindwa kukimbizana kwenye kambi kwenda huku […]
Read More..Pesa ni Hatari Aisee-Muhongo Mchungu
WANASEMA kama una bandama basi huwezi kujizuia kucheka popote pale ulipo, hata kama ni kwenye eneo ambao hutakiwi uonyeshe tabasamu. Kama ni hivyo basi huwezi kushangaa pale ambapo mkongwe katika filamu za Kibongo, Abdallah Mkumbila ‘Muhogo Mchungu’ alipovunjwa mbavu na mmoja ya waumini ndani ya msikiti wakati ibada ikiendelea katika kile kipengele cha kutoa sadaka. […]
Read More..Gabo Zigamba Aishauri Haya Serikali
Msanii Salim Ahmed alimaarufu kama ‘Gabo Zigamba’ ameishauri serikali ya awamu ya tano kutolea macho kwenye sekta ya kilimo Tanzania pamoja na vipaji na kusema kuwa hivyo ndivyo vyanzo vizuri vya mapato. Gabo Zigamba ametumia ukurasa wake wa Instgram kutoa ujumbe huo kwa serikali na kuiomba serikali ya awamu ya tano iweze kutilia mkazo katika […]
Read More..Riyama: Mtuache Tulale!
STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally amewafunga midomo wote waliokuwa wakibeza uhusiano wake na msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Haji Mwalimu Mzee ‘Leo Mysterio’, baada ya kufunga naye ndoa hivi karibuni. Minong’ono ilikuwa mingi mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kuwa Riyama yupo kwenye uhusiano na Serengeti Boy kwa vile kijana huyo […]
Read More..





