Mzee Majuto Afunguka Kuendelea Kuigiza Mpak...
Muigizaji wa filamu za vichekesho nchini Amri Athumani maarufu kama ‘Mzee Majuto’ ambaye mwaka jana aliwahi kutangaza kuacha uigizaji na kumrudia Mungu amefunguka na kusema kuwa ataendelea kuigiza mpaka anakufa kwa sababu uigizaji upo kwenye damu. Akiongea na EATV Mzee Majuto alisema kuwa yeye hawezi kukubali kuona fani inachezewa chezewa na watoto hivyo ataendelea kuigiza mpaka […]
Read More..





