-->

Daily Archives: August 25, 2016

‘Mchongo Sio’ ya Duma,Riyama, Mboto na ...

Post Image

Kila mtu anpenda kile anachokifanya katika maisha yake kifaniwe,na kila mtu atavuna alichokipanda,kwa hiyo kama jambo lako lisipofanikiwa basi huna budi kusema Mchongo sio. Daudi Michael ‘Duma’ na wakali wengine wa bongo movie kama Riyama Ally, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na wengine amehusika kwenye filamu hii. Usikose filamu hii kutoka Steps Entertainment 12.09.2016 nchi nzima

Read More..

Kwanini Wanaomuita Young Dee ‘Paka...

Post Image

Maxmilian ambaye ni boss na msimamizi wa msanii wa Rap nchini Young Dee amesema hali ya rapa huyo imeimarika na anaendelea vizuri hivyo watu watarajie kazi nzuri kutoka kwake. Akipiga story ndani ya eNewz, Max amesema “Sasa namfananisha Young Dee kama ‘Paka’ kwa hiyo kwa wale watu wanaomuita Paka rapa huyo naona hawakosei kwa kuwa […]

Read More..

Shilole; Kilichokupata Feri ni Sawa Tu, Kwa...

Post Image

ZUWENA Mohammed ndilo jina alilopewa na wazazi wake alipozaliwa nyumbani kwao Igunga, mji mdogo, lakini maarufu mkoani Tabora. Lakini katika harakati za maisha, amejikuta akipata umaarufu mkubwa nchi nzima na jirani, kwa jina lake la kisanii la Shilole. Wengine wanamuita Shishi Baby. Huyu anathibitisha kuwa mwanamke akiamua, inawezekana. Kwa sababu historia yake inaonesha kuwa ni […]

Read More..

Kisa Kutohudhuria Sherehe Yake, Romy Amfung...

Post Image

BAADA ya hivi karibuni ndugu wa Mwanamuziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, kufanya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa na kuhudhuriwa na mastaa kibao isipokuwa msanii huyo na kudaiwa kuwa wana bifu, Romy Jones ‘DJ RJ’ ameibuka na kueleza kilichotokea. Tetesi zilizagaa kwamba Diamond na Romy wana bifu ndiyo maana hakuonekana kwenye sherehe hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa […]

Read More..

Singeli Ilikuwa ni ya Wahuni – Man Fongo

Post Image

Msanii Man Fongo ambaye ni bingwa wa kuipiga singeli studio na mitaani, ametoa sababu ambayo ilifanya muziki huo uanze kwa kukwama, na kuchelewa kutoka. Akizungumza na Planet Bongo ya East AFrica Radio, Man Fongo amesema muziki huo ulikuwa umeshaaminika ni wa kihuni, kwani hata mitindo yake ya uchezaji ilikuwa siyo ya kufaa kwa jamii, na […]

Read More..

Da Zitta Anapenda Story Halisi Katika Filam...

Post Image

MKURUGENZI wa kampuni ya Zitta Production Zitta Matembo ‘Da Zitta’ amefunguka kwa kusema kuwa siku zote anapenda kutengeneza filamu ambazo zinagusa jamii na ni hadithi halisi ambazo zinaizunguka jamii yetu kila siku na anafurahia sana kuigiza maisha halisi. “Nilipanga kuwa ni msemaji wa wanyonge ambao hawana pa kuongelea mimi nachukua nafasi kuwakilisha mawazo yao ambayo […]

Read More..