-->

Daily Archives: June 8, 2016

Snura: Majanga Ilinipa Majanga

Post Image

STAA wa Muziki wa Kizazi Kipya, Snura Mushi ambaye alipata kiki ya aina yake kwa kibao chake cha Majanga, amefunguka kuwa licha ya kupata shoo nyingi kupitia ngoma hiyo, lakini pia alipata majanga kwa kutapeliwa mara kadhaa. Akipiga stori na Risasi Vibes, Snura alisema promota mmoja alimpeleka kufanya shoo mkoani Kilimanjaro na Mererani Arusha, lakini […]

Read More..

Nisha Awahofia Wakware kwa Mtoto Wake

Post Image

MSANII anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefungukia hofu aliyonayo kwa mwanaye, Ipsium kutokana na wanaume wakware kuzidi kuongezeka kila siku. Akichonga na Risasi Vibes, Nisha alisema hata akiwa na ‘boyfriend’ wake, huwa hapendi amzoee mwanaye huyo, kwani anamlea katika maadili ya kidini zaidi na anamshukuru Mungu anazingatia vile anavyotaka. “Mwanangu yuko darasa […]

Read More..

Rich Mavoko: Afunguka Kuhusu Kufikisha Muzi...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ambae amesain mkataba na WCB-WASAFI hivi karibuni na sasa ngoma zake zote zitatoka chini ya lebo hiyo na kusema kuwa wasani wanaweza kufanya kazi pamoja na kuufikisha muziki wa Bongo sehemu fulani. ‘’Nimependa sana nilivyosaini na inaonekana kabisa vijana tunaweza kufanya kazi pamoja na kufanya muziki wetu kufika sehemu […]

Read More..

Master Jay: Tulikuwa Wapenzi Miaka 10 Bila ...

Post Image

MTAYARISHAJI wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, amesema alikuwa katika uhusiano wa kimapenzi na msanii Sarah Kaisi, ‘Shaa’ kwa miaka 10 bila kuweka wazi. Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Master Jay alisema walikuwa katika mapenzi ya siri kwa muda wote huo hadi walipoamua kuweka wazi hivi karibuni baada ya watu kuhisi uhusiano wao. “Nilimpenda […]

Read More..

Mose Iyobo Atangaza Ndoa

Post Image

Mchezaji maarufu wa muziki wa Bongo Fleva Moses Peter anaetambulika kwa jina la Mose Iyobo anefanya kazi na Staa Diamond Platnumz amefunguka na kudai kuwa ndoa yake na staa wa Bongo muvi Aunt Ezekiel inanukia. kizungumza na eNewz Mose alisema kuwa kuna kitu ambacho watu hawafahamu ambacho ni kuwa, yeye anakaribia kuwa bwana harusi wa […]

Read More..

Mike: Nitakodi Ndege Kupeleka Mahari ya Mri...

Post Image

Mwigizaji wa kiume Bongo, Michael Sangu ‘Mike’ amesema kuwa anatarajia kukodi ndege kwa ajili ya kwenda mkoani Mbeya kupeleka mahari ya mchumba’ke wa sasa aliyemtaja kwa jina moja la Eliza ambaye ndiye mrithi wa aliyekuwa mkewe, Salome Urassa ‘Thea’. Akizungumza na Wikienda, Mike alisema kuwa amekuwa akichafuliwa kwa mchumba’ke huyo na watu wanaomwambia maneno lakini […]

Read More..