-->

Daily Archives: June 9, 2016

Danny Msimamo: Vinega na Anti Virus Imebadi...

Post Image

Msanii wa Hip Hop wa hapa bongo Danny Msimamo, amesema game la muziki sasa hivi limebadilika tofauti na zamani, ambapo sasa muziki unaingiza pesa nyingi kwa wasanii. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Danny Msimamo amesema hatua hiyo imesababishwa na harakati za kutetea haki zao na kuendeshwa kwa kampeni mbali […]

Read More..

Gigy Money: Naangalia Pesa Kabla Sijamkubal...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva na video queen, Gigy Money amesema kuwa anaangalia pesa kabla hajamkubali mwanaume. Akiongea na Times FM, Gigy Money alisema, “naangalia pesa kabla sijamkubali mwanaume, unajua kuwa na mtu maskini inaleta stress tu, napenda pia wanaume wazuri,” alisema. Gigy ametokea kupata umaarufu kutokana na maisha yake controversial. Bongo5 NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS […]

Read More..

Baada ya Miaka Miwili, Rose Anarudi na ‘A...

Post Image

MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Swahilihood Rose Ndauka baada ya kuacha kushiriki kazi za watayarishaji wengine amesema kuwa amerudi katika fani hiyo na kazi yake ya Angela ambayo ni kazi yake mwenyewe kwani alisema kuwa hawezi kushiriki filamu za wengine na amefanikiwa. “Nimeweza kukaa zaidi ya miaka miwili bila kushiriki kazi ya mtayarishaji mwingine […]

Read More..

Picha: Young D Akwidwa, Atiwa Mbaroni

Post Image

Kimemnukia! Mbongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ amejikuta mikononi mwa askari wa Kituo cha Polisi Urafiki, Ubungo jijini Dar madai yakiwa kuharibu simu na kushambulia mwili, Amani lina kila kitu. Ilidaiwa kuwa, katika siku za karibuni, msanii huyo alimshambulia mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Nasra lakini pia aliharibu simu yake yenye thamani ya shilingi […]

Read More..

Rich Mavoko:Kuna Msanii Mkubwa Alinikataza ...

Post Image

Msanii Rich Mavoko ambaye sasa yupo chini ya Label ya WCB Wasafi amefunguka na kusema kuwa wakati tetesi za yeye kwenda kujiunga na label ya WCB Wasafi zimeenea kuna msanii mmoja mkubwa wa bongo fleva alimtumia ujumbe na kumwambia anaanzaje kwenda kusimamiwa kazi na msanii Diamond Platnum. Rich Mavoko amesema hayo leo kwenye kipindi cha Planet […]

Read More..

Baby Madaha Awashangaa Waigizaji wanaotona ...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’, ameibuka na kudai kwamba anashangazwa na waigizaji wa kike waliopo katika mapenzi na wanaume wa umri mdogo. Baby Madaha ambaye ameolewa na Mwarabu wa Dubai, amesema tabia ya wasanii wenzake kuwa na wanaume wenye umri mdogo maarufu ‘Serengeti Boys’ unafedhehesha na haiwasaidii chochote zaidi ya […]

Read More..