-->

Daily Archives: June 10, 2016

Mama Wema Afunguka Kupigana na Watu Kumtete...

Post Image

Mama yake Wema Sepetu, Mariam Sepetu amefunguka na kueleza jinsi anavyoumizwa na stori za uongo kuhusu mwanae ambazo zimekuwa zikiandikwa katika magazeti ya udaku. Akizungumza katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Alhamisi hii, Bi Mariam amesema amekuwa akigombana mara kadhaa na baadhi na viongozi wa magazeti ya udaku kuhusu stori za uongo. “Naumia […]

Read More..

Chege Awapa Makavu Hawa, Wanaoiamishia Rama...

Post Image

Msanii wa Bongo fleva Chege Chigunda amefunguka dhidi ya watu wanaouhamishia mwezi wa Ramadhan katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na Enewz Chege alisema kuwa kwa Bongo watu wanakuwa wanapoteza maadili ya dini kwasababu siku hizi miezi hii ya Ramadhani imehamia instgram kitu ambacho wengi wanakosea. “Funga siyo kujikwida sijui manini sijui kufunga ni imani na […]

Read More..

Wasanii Watoa ya Moyoni Bajeti ya Sh Bilion...

Post Image

WAKATI Serikali ikitenga Sh bilioni 3 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya sanaa, ubunifu, utamaduni na michezo zitakazotumika kuratibu na kusimamia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa na Ubunifu, wasanii wa fani mbalimbali wameeleza mitazamo yao kuhusu bajeti hiyo. Wasanii hao kwa mitazamo yao wamezungumzia namna ambavyo fedha hizo zimeelekezwa kusimamia urasimishaji wa […]

Read More..

Shamsa: Napenda Sana Nguo za Ndani za Mtumb...

Post Image

Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba zikiwemo nguo za ndani ‘makufuli’.   Akizungumzia nguo anazopenda kuvaa, mdada huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwaye Terry alisema, kuna mtu huwa anampelekea […]

Read More..

Nay Aamua Kuwachana ‘Wakwaruaji’...

Post Image

Star wa Bongo Fleva Nay wa Mitego bado anaendelea kuwapa makavu live wasanii wa Bongo Muvi hasa wakwaruaji wanaosubiri vijana wa bongo fleva wawe juu ndipo watokenao kimapenzi. Akizungumza na Enewz Nay alisema kuwa wadada wenye tabia hizo Bongo Muvi wanajulikana na kuwataja baadhi yao kuwa ni pamoja na Jackilin Wolper, Salma Jabu ”Nisha” na […]

Read More..