-->

Daily Archives: August 22, 2016

Darasa Atoboa Sababu za Yeye Kufanya Vizuri

Post Image

Rapa Darasa ambaye kwa sasa anatesa na wimbo wake ‘Too much’ amefunguka na kusema kuwa kwa sasa anafanya vizuri kutokana na changamoto mbalimbali alizopitia kwenye maisha yake ambazo zimempelekea kufanya kazi kwa kujituma ili asirudi nyuma tena. Darasa anasema moja ya vitu ambavyo vilimpa changamoto ya kupambana ni pamoja na yeye kukosa chakula, sehemu ya […]

Read More..

Mr Blue Afunguka Kuanzisha Ubishoo Kwenye B...

Post Image

Mkali wa wimbo ‘Mboga Saba’ Mr Blue amesema yeye ana mchango mkubwa katika mabadiliko ya muziki wa bongofleva nchini. Akiongea katika kipindi cha Ndoto Kubwa cha Clouds TV Jumapili hii, Mr Blue amesema yeye ndiye msanii wa kwanza kufanya muziki akiwa na swagga. “Mimi baada ya kuingia kwenye muziki kuna vitu ambavyo nilivifanya mimi kama […]

Read More..

Wema na Idris Kama Chris Brown na Karrueche

Post Image

Hii sasa kali, uhusiano wa mlimbwende kwenye tsnia ya Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ na Mchekeshaji, Idris Sultan umekuwa kama ule wa rapa, Chris Brown na aliyekuwa mpenzi wake Karrueche Tran, wazungu wanauiita ‘off and on.’ Baada ya hivi karibuni kuzinguana tena hadi kumfanya Idris ajiondoe Instagram hadi sasa, wawili hao wanaonesha kuanza kutafuta suluhu. […]

Read More..

Vita Hivi ni Vya Kwangu Pekee Yangu- Rado

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu wa kiume  Simon Mwapagata ‘Rado’ ametamba kwa kusema kuwa yeye ndio mpiganaji pekee ambaye anaamini kuwa ataiokoa tasnia ya filamu na kuwa huru kutoka kwa wezi wa kazi zao bila kutegemea msaada kutoka kwa wasanii wenzake wala Serikali kwani vita hiyo ni ngumu na inahitaji uzalendo siyo njaa. “Filamu ni maisha yetu […]

Read More..

Masanja Asimulia Alivyochezea Kifinyo

Post Image

NYOTA wa  vichekesho nchini Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ambaye wiki iliyopita alitawala kwenye vyombo mbalimbali vya habari baada ya kuvuta jiko, mtoto mrembo Monica, amesema kati ya vitu ambavyo hawezi kuvisahau maishani mwake ni pamoja na adhabu ya kufinywa aliyokuwa akipewa na mama yake. Akizungumza na Mtanzania, Masanja alisema kuwa nidhamu aliyonayo hivi sasa imetokana […]

Read More..

Man Fongo Awachimba Mkwara wa Bongo Fleva

Post Image

Kwa kasi iliyopo kwenye muziki wa Singeli, ni wazi kwamba unaelekea kuupoteza muziki wa Bongo Fleva kutokana na kasi ya kuenea kwake hapa nchini, jambo linalosisitizwa na mkali anayetesa katika muziki huo, Amani Hamisi ‘Man Fongo’. Man Fongo ambaye amepachikwa jina la Mfalme wa Singeli, anayesumbua na kibao chake cha Hainaga Ushemeji amesema wasanii wa […]

Read More..