-->

Monthly Archives: January 2017

Mimi Mpinzani Halisi Wa Gabo Katika ‘Game...

Post Image

MWIGIZAJI chipukizi anayetamba na filamu ya Ngoma ya Roho na tamthilia ya Buriani Angel Maige Alex Mgeta ‘Faita’ ametamba kuwa kwa sasa yeye anamini kuwa ndiye mpinzani wa kweli wa mwigizaji bora katika tasnia ya filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ kwani ana uwezo mkubwa wa kuvaa uhusika na kubadilika kwa kila sinema. “Unajua uigizaji ni mbinu […]

Read More..

Niva Atoboa Ukweli wa ‘Bifu’ La...

Post Image

Msanii wa bongo movie Niva amesema madongo yote waliyokuwa wanatupiana na Nay wa Mitego kwa mwaka 2016 ilikuwa ni ‘bifu’ za kimuziki na mipango ya kibiashara kwa upande wa movie lakini hawana bifu lolote kati yao. Akiongea kupitia eNewz Niva amesema hawajawahi kugombana na wala hawana tatizo lolote na Nay kwa kuwa ni watu ambao wamekuwa sehemu […]

Read More..

Nahitaji Maombi Yenu Wadau – Ben Selengo

Post Image

Msanii wa filamu Ben Selengo baada ya kupata ajali ambaya siku ya sikukuu ya Christmas na kulazwa katika Muhimbili, ameruhusiwa na sasa hivi yupo nyumbani. Muingizaji huyo amedai licha ya kuwa ameruhusiwa kutoka hospital lakini bado afya yake haijakaa sawa na anahitaji maombi. “Bado nahitaji maombi yenu wadau,” aliandika Ben Instagram “nimetoka Muhimbili nipo home […]

Read More..

Kilichomuua Mke wa Director Lister Hiki Hap...

Post Image

Mke wa muongozaji wa Filam  Tanzania Gift John Lister aliyefariki wiki iliyopita akiwa anasumbuliwa na homa ya mapafu amezikwa Jumamosi hii katika makaburi ya Kinindoni. Akiongea kupitia eNewz  mume wa marehemu Director John Lister amesema marehemu ameacha watoto wawili na siku tatu zilizopita waligundua kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu na wakati anapatiwa matibabu ndipo umauti […]

Read More..

Inasikitisha Sana, Tazama Nando wa Big Brot...

Post Image

HALI ya kiafya ya mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Big Brother Afrika, 2013 nchini Afrika Kusini,  Ammy Nando inasikitisha ambapo inadaiwa kuwa amedhoofika sana kwa sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya. Picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni (picha ya juu kulia), zinamuonesha kijana huyo akiwa amedhoofika sana mwili wake, tofauti kabisa na jinsi afya yake […]

Read More..

Tanzia: Bongo Movie Wampoteza Mwingine

Post Image

TASNIA ya filamu hapa Tanzania, Bongo Movie wamempoteza muigizaji mwenzao Kijakazi Pazi Shabani maarufu kwa jina la Zamzam aliyefariki dunia jana Jumapili, Januari 1, 2017 mkoani Kigoma. Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa mwili wa Zamzam unatarajiwa kusafirishwa leo kutoka Kigoma kwenda jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazishi ambapo msiba huo utakuwa maeneo […]

Read More..

Wema Sepetu Awashangaza Mashabiki Wake Inst...

Post Image

Nini tena kimemkuta malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu? Ama labda ameamua kutoingia mwaka 2017 kwa kumbukumbu za mwaka 2016?. Ni kwa sababu mrembo huyo ameamua kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram yenye followers milioni 2.5.

Read More..

Kawele: Wanawake Kubweteka ni Kununua Umasi...

Post Image

MKONGWE wa filamu Tanzania, Grace Mapunda ‘Mama Kawele’, amesema wanawake wanaobweteka ni sawa na kuununua umasikini. Akizungumza na MTANZANIA jana, alisema miaka kadhaa iliyopita na sasa hivi ni tofauti, mwanamke wa sasa anatakiwa asiangalie upande mmoja bali asimame kama nguzo katika familia na kuhakikisha anautokomeza umasikini wa kujitakia. “Wanawake wanaobweteka bila kujishughulisha na kuukubali umasikini […]

Read More..

Kinachokwamisha ‘Collabo’ ya Ji...

Post Image

Msanii mkongwe katika anga la bongo fleva, mwanadada Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee amesema yuko tayari kufanya kazi na staa wa muziki huo Diamond Platnumz, endapo atahitaji lakini kinachoweza kukwamisha ni ratiba yake ya kazi. Jay Dee amelazimika kutoa kauli hiyo kutokana na kuongezeka kwa minong’ono kuwa wawili hao wanakwepana, na hawataki kufanya kazi […]

Read More..