-->

Daily Archives: June 26, 2017

Kwa Nini Wolper Hakumfariji Zari Alipofiwa ...

Post Image

KUFUATIA wadau mbalimbali kumtuhumu kwamba, hana utu kwa kushindwa kwenda kumfariji rafiki yake, Zarinah Hassan ‘Zari The Bosslady’ hivi karibuni alipofiwa na mzazi mwenzake, Ivan Ssemwanga ‘Don Ivan’ huko Uganda, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameibuka na kufungukia sababu za kutofanya hivyo. Akizungumza na Wikienda, Wolper alisema kuwa, ulipotokea msiba wa Ivan, […]

Read More..

Kufa Maskini Ujinga – Mzee wa Upako

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo alimaarufu kama ‘Mzee wa Upako’ amefunguka na kusema mtu kufa maskini si jambo la kusifiwa hata kidogo kuwa ni uzalendo bali ni Ufala. Mchungaji Lusekelo amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji wa kipindi cha UJENZI kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana EATV kila Jumapili, Mzee wa […]

Read More..

Gabo Amzungumzia Kanumba na Wema Sepetu

Post Image

Msanii wa Filamu Tanzania, Gabo amesema si kweli tasnia ya filamu imeshuka baada ya kifo cha Steven Kanumba. Muigizaji huyo ameeleza kuwa watu wengi wanaamini kutokuwepo Kanumba kumedhoofisha soko kutokana alikuwa wenye kuleta changamoto ambayo kwa sasa haipo. “Sio kweli industry ipo vile vile, kwa hiyo jamaa alikuwa analeta changamoto kwa wacheza sinema wengi sana […]

Read More..

Okwi Asaini Mkataba wa Miaka Miwili Simba

Post Image

Emanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili (2) kujiunga na Simba kuanzia msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara pamoja na mashindano mengine ikiwa ni pamoja na michuano ya Afrika (Caf Confederatio Cup).  

Read More..