-->

Daily Archives: June 2, 2017

Nilinusurika Kifo Mara Mbili-Kajala Masanja

Post Image

STAA wa filamu za Bongo, Kajala Masanja, amesema aliwahi kunusurika kifo kutokana na kupata mshtuko mara mbili mara, baada ya kutoka selo alikokuwa akituhumiwa katika kesi ya kuuza nyumba kwa wizi. Kajala alisema labda leo asingekuwa hai kama angeendelea kufuatilia matusi na lawama za mashabiki wake alizozikuta mitandaoni baada ya kutoka kwenye kesi hiyo. “Sikuwa […]

Read More..

Msimpangie Beckham- Fid Q

Post Image

Farid Kubanda ‘Fid Q’ ameshindwa kuwavumilia wabongo wanaomtusi mwanasoka David Beckham aliyeko nchini Tanzania mapumzikoni, kwa kuwaambia wasimpangie kutangaza bali wamuheshimu mtalii huyo ambaye ametumia garama zake kufika nchini na siyo ufadhili. Fid Q amelazimika kufunguka hayo kwenye Stori tatu ya planet Bongo ndani ya East Africa radio baada ya watanzania kuanza kumshambulia mitandaoni mchezaji […]

Read More..

Christian Bella Hoi Nchini Congo

Post Image

King of the best melody, Christian Bella amelazwa hospitalini nchini Congo DRC baada ya kuugua ghafla. Bella aliwasili nchini humo takriban wiki ya mbili sasa akiwa pamoja na TID ambapo tayari ameshafanya show kadhaa nchini humo. Muimbaji huyo wa Malaika Band, ameweka picha katika mtandao wa Instagram akionekana amelazwa hospitalini huku akiwa ametundikiwa drip kitendo […]

Read More..

Wagosi wa Kaya na Mwanzo Mpya Katika Muziki

Post Image

WAGOSI wa Kaya ni moja ya makundi yaliyoweka historia mkoani Tanga wakitambulika na Kibao cha Tanga Kunani na baada ya hapo wakawashika mashabiki vilivyo na vibao vingine kama Wauguzi, Tajiri na Maskini, Pole, Trafiki, Kibaka Kaokoka na Taxi Driver. Kundi hilo linaloundwa na vichwa viwili, John Evans ‘Dk. John’ na Fredy Mariki ‘Mkoloni’ limefanikiwa kwa […]

Read More..

Wema Sepetu Apandishwa Tena Kizimbani Kisut...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na wenzake wawili, Matilda Abass na Angelina Msigwa ambao ni wafanyakazi wake wa ndani kwa kosa la matumizi na kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi lakini amekana mashitaka hayo yote. Mahakama imeahirisha kesi yake hiyo na itasikilizwa tena Julai […]

Read More..