-->

Daily Archives: June 22, 2017

Watoto wa JK, Juma Nkamia Washinda Medali z...

Post Image

Dar es Salaam. Mtoto wa Rais mstaafu, Rashid Kikwete na mtoto wa mbunge wa Kondoa, Abdulrazak Nkamia wamelipa sifa Taifa baada ya kushinda medali za dhahabu katika mashindano ya Genius Olympiad, Marekani. Genius Olympiad ni shindano la kimataifa la mazingira linalofanyika kila mwaka katika Chuo Kikuu cha Oswego kilichopo nchini Marekani. Rashid ambaye ni mtoto […]

Read More..

Sitti Mtemvu: Nilivuliwa Taji La Miss Tanza...

Post Image

SHINDANO la Miss Tanzania Mwaka 2014, liliingia kwenye dosari baada ya mshindi wa taji hilo, Sitti Mtemvu kuzua sintofahamu kwa kudaiwa kwamba alishiriki akiwa juu ya umri stahiki wa mashindano hayo. Skendo nyingine iliyomtafuna Sitti ni kudaiwa kuwa alishiriki u-miss huku akiwa na mtoto. Kutokana na fi gisufi gisu za hapa na pale, hatimaye Sitti […]

Read More..

Dogo Janja Aruka kwa Muna Love

Post Image

Msanii wa hip hop Dogo Janja amekanusha tetesi za kujihusisha kimapenzi na muigizaji wa zamani na mfanyabiashara Muna Love kwa kusema hajawahi kuwa na mahusiano na habari hizo zinamuweka sehemu mbaya katika mahusiano lakini pia kifamilia. Janjaro amelazimika kufunguka hayo baada ya tetesi kuenea muda mrefu kujihusisha na Mwanadada huyo huku wengine wakienda mbali zaidi […]

Read More..

Baada ya Harmonize, Rayvanny kufanya yake

Post Image

Baada ya Harmonize na Rayvanny kusainiwa lebo ya WCB na kutumia studio ya Wasafi, kurekodia nyimbo zao sasa tutegemee kusikia sauti hizo katika studio zingine. Kwa mujibu wa Diamond Platanumz akiongea katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, amesema kuwa Rayvanny, naye anatarajia kufungua studio yake ya muziki itakayo weza kutengeneza midundo chini ya mtaarishaji Rash […]

Read More..

Katika Utawala Wangu Hakuna Atakayepata Mim...

Post Image

Pwani. Rais John Magufuli amesema wakati wa utawala wake hakuna mwanafunzi atakayepata mimba na kuruhusiwa kurudi shule. Ameyasema hayo leo (Alhamisi) wakati wa ziara yake ya siku tatu mkoani Pwani ambako amezindua viwanda saba. “Azae halafu aende kuwahubiria wenzake, unajua ilikuwa hivi, halafu nilifanya hivi,”amesema. Amesema waliozaa shuleni wanaweza kwenda kupata elimu nyingine kama vyuo […]

Read More..

Vanessa Atoa Povu Jux Kumaliza Chuo

Post Image

Msanii Vanessa Mdee amempongeza mpenzi wake Juma Jux kwa kuhitimu elimu yake ya juu nchini China huku akiwapiga vijembe wale waliokuwa wanamsema msanii huyo kuwa hasomi bali anakwenda kukunua nguo, na kwamba picha alizoweka leo ni jibu tosha. Vanessa Mdee  ametoa pongezi hizo ikiwa ni siku moja baada ya Msanii huyo kuhitimu, na kutupia kijembe […]

Read More..