-->

Daily Archives: June 13, 2017

Spika Awakumbusha Wapinzani Kuwa Nao Wana M...

Post Image

Dodoma. Mjadala wa bajeti umeendelea leo bungeni huku suala la mchanga wa madini likitawala sehemu kubwa ya mjadala huo. Wakati wa mjadala huo, Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia. Ndugai amesema hayo leo […]

Read More..

Rose Ndauka: Msiwasamehe Wanaowanyanyasa Ki...

Post Image

STAA wa filamu za bongo, Rose Ndauka, amewatahadharisha wanawake wenzake kwamba wasiwasamehe wanaume wanaowanyanyasa kimapenzi ndani ya nyumba zao, kwa kuwa kufanya hivyo ni kujinyima haki kisheria. Rose alisema mwanamke anayejielewa hatakubali kunyanyasika awapo kwenye ndoa yake na anayeogopa ni yule asiyejitambua, bali anaishi ilimradi kaolewa. “Huwa nachukizwa sana na mwanamke anayekubali kunyanyaswa katika ndoa […]

Read More..

TID Ampa Makavu Harmorapa

Post Image

Msanii mkongwe wa bongo fleva, TID ambaye kwa sasa anapenda kuitwa jina la Mnyama, amesema Harmo ni msanii ambaye hajui muziki lakini anataka kuimba. “Harmorapa ni mtu asiyejua muziki lakini anataka kuimba,” TID amekiambia kipindi cha On The Eight cha TVE. Hata hivyo sio muimbaji huyo pekee ambaye ameonekana kutomkubali rapper huyo, wengine ni Master […]

Read More..

Khadija Kopa Afungukia Kifo cha Taarab

Post Image

Mkongwe wa muziki wa taarab, Bi. Khadija Omar Kopa amedai muziki wa wao unaonekana kama umepoteza ladha kwa sababu ya nyimbo zao kupigwa sana sehemu ya kuuza vilevi na kupotezewa katika vyombo vya habari. Khadija amezungumza hayo akiwa kwenye uzinduzi wa video ya Saida Karoli ‘Orugambo na kusema kwamba muziki wa taarabu umeshushwa na watu wachache […]

Read More..

Pesa Zamfukuza Saida Karoli Kwenye Muziki

Post Image

Mkongwe wa muziki wa asili wenye ladha ya bongo fleva, Saida Karoli amefunguka na kusema kwamba ukosefu wa pesa na mapromota waongo ndicho kitu pekee kilichomfanya apotee katika ramani ya muziki nchini. Saida amefunguka hayo baada ya ujio wake mpya kwa kuachia  video inayokwenda kwa jina la ‘Orugambo’  na kuongeza kwamba aliamua kurudi kijijini kwao […]

Read More..