-->

Daily Archives: June 23, 2017

Nilifanya muziki nipate mademu – Dull...

Post Image

Msanii Dully Skyes ambaye sasa anafanya vyema na ngoma yake ‘Yono’ amefunguka na kusema kuwa yeye alianza kufanya muziki wa bongo fleva ili awe mtu maarufu na kuanza kupata wanawake. Dully Skyes alisema hayo leo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio kwenye Heshima ya bongo fleva na kusema miaka kumi […]

Read More..

Ben Pol Avunja Ukimya kwa Ebitoke

Post Image

Msanii Ben Pol amefunguka ya moyoni baada ya kukutana kwa mara ya kwanza na mchekeshaji Ebitoke kwa kusema anaamini watu wengi wameoa ama kuolewa na watu wasiowapenda kwa sababu ya kushindwa kuelezea hisia zao. Ben amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya mchekeshaji Ebitoke kuonesha hisia za mapenzi katika mitandao ya kijamii kwa […]

Read More..

Mkishindana na Mimi Nitawaacha – Alikiba

Post Image

Msanii Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye katika muziki wake hakuna mtu anayeshindana naye na kudai ila kama kuna watu wanataka kushindana na yeye basi atawaacha na kuendelea na mambo yake. Alikiba anasema katika maisha yake ya muziki hataki kuona mtu yoyote anamtoa katika njia yake, ndiyo maana watu ambao wanakuwa wakiongea ongea sana juu […]

Read More..

Nataka Nirudi Shule – Jackline Wolper

Post Image

Muigiza wa Filamu Bongo, Jackline Wolper amedai anataka kurudi shule mara baada ya kuona picha za Jux alizopiga katika mahafali yake ya kumaliza elimu ya juu nchini China. Wolper kupitia instagram ameandika, “nimekumbuka mbali kweli nilivyoiona hii picha, nakumbuka siku hizo mwenyewe ndo nakupeleka airport unaenda kuanza kusoma mpaka na mimi nilitamani kuwa mwanafunzi ili […]

Read More..

Nikki : Wasomi Acheni Kulia Kulia

Post Image

Rapa msomi kutoka Weusi Kampuni, Nikki wa Pili amewataka wahitimu waache kulia na kulalamikia serikali kwa kukosa ajira na badala yake wanapaswa watumie uthubutu wao katika yale waliyojifunza darasani. Nikki amefunguka hayo leo kupitia kipindi cha Supamix cha East Africa Radio baada ya wanafunzi wengi kutoka maeneno mbalimbali ya nchi wakionekena kukata tamaa ya maisha […]

Read More..

Watanzania tunafundishwa michezo ambayo hat...

Post Image

Pwani. Rais John Magufuli ameziponda vikali taasisi za kiraia zinazohalalisha mapenzi ya jinsia moja na kuhimiza wanafunzi wanaopata mimba shuleni, kurudi shule baada ya kujifungua. Ameyasema hayo leo (Alhamisi) katika ziara yake ya siku tatu, mkoani Pwani ambako amezindua viwanda saba na kutembelea kiwanda cha kuzalisha dawa za kuua vimelea vya mbu. “Hawa wageni wanaleta […]

Read More..

Nay wa Mitego Aachia Dude ‘Moto’, Wamo ...

Post Image

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Moto’. Rapa huyo ameendelea na nyimbo zake za kuwachana baadhi ya wasanii ambapo ndani ya wimbo huu uliotayarishwa na producer Awasome ametajwa, Alikiba, Baraka The Prince, Nandy, Ruby pamoja na wengine.

Read More..

Joketi Mwegelo Anavyotamani Watoto Mapacha

Post Image

MWANAMITINDO na msanii maarufu nchini, Joketi Mwegelo, ameweka wazi kuwa anatamani kuwa na watoto mapacha katika maisha yake. Joketi aliweka wazi hayo alipotembelea Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, inayochapisha magazeti ya MTANZANIA, BINGWA, DIMBA na Rai, zilizopo Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam. Joketi ameweka wazi kwamba mwanamume atakayekuwa mume wake atamuweka wazi hivi […]

Read More..

Chriss Mhenga Chimbuko Bongo Movie (Sehemu ...

Post Image

Inaendelea ilipoishia ….. Na bado anaamini kuwa makundi ndio kila kitu kuliko kumchukua msanii moja huku mwingine kule kwani kila mtu anavyokuja anakuja kwa ajiili ya kazi hiyo tu hana muda wa kumsikiliza mtayarishaji au muongozaji vitu vingine vya ziada, watarekodi na kusambaratika hadi kazi nyingine. Sanaa ni taaluma ni lazima wasanii kila siku wawe […]

Read More..