-->

Daily Archives: June 7, 2017

Mabomu Yatumika Kutawanya Bobaboda

Post Image

Jeshi la polisi mkoani Shinyinga limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva Bobaboda ambao walikuwa wakiaandamana kuonyesha kupinga kitendo cha polisi baada ya dereva bodaboda mmoja kufariki wakisema kifo chake kimesababishwa polisi. Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema tukio hili limetokea leo majira ya saa moja asubuhi hadi saa sita mchana ambapo askari polisi walikuwa wakipimana […]

Read More..

Shilole: Watoto Wangu Hawataiga Maisha Yang...

Post Image

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amesema kwamba watoto wake hawataiga maisha wala mavazi anayovaa kwenye shoo zake wala maisha ya sanaa anayoishi kwa kuwa wanatambua yupo kazini kwa ajili yao. Shilole aliliambia MTANZANIA kwamba, malezi anayowalea watoto wake ni tofauti na maisha anayoishi yeye na watoto hao wanatambua kwamba mama yao […]

Read More..

Chuchu Nanyonyesha na Bado Nafunga

Post Image

MSANII wa filamu Bongo Chuchu Hans amesema licha ya kumnyonyesha mtoto wake aitwaye Jaden, bado ataendelea kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kwani kama ni wingi wa maziwa, atahakikisha anakula vizuri baada ya kufuturu. Akipiga stori na Za Motomoto News, alisema yeye ni Muislam anayezingatia maadili ya mfungo, hivyo kitendo cha kuwa na mtoto mdogo ambaye […]

Read More..

Gabo Awafunda Wanawake

Post Image

Muigizaji anayefanya vizuri sana kwenye ‘game’ ya bongo movie ametoa somo kwa wanawake wa kiislamu kuacha kubweteka na kuwa wachafu kwa kisingizio cha mwezi wa ramadhani kwani watawapatia mianya wandani wao kuchepuka. Gabo amefunguka hayo kwa kudai kuwa wanawake kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan wamekuwa wakijiachia kwa kusingizia kuwa wanafanya maandalizi ya futari […]

Read More..

Steve Nyerere ataka asihusishwe na ishu ya ...

Post Image

Mchekeshaji Steve Nyerere mwenye vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali za viongozi, amewataka Watanzania kuacha kumuhusisha kwenye sakata la kutengeneza audio ambayo anasikika malkia wa filamu, Wema Sepetu akizungumza mambo ya faragha na Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe. Mwenyekiti huo wiki hii, aliikataa audio hiyo kwa kusema siyo yake huku akiwataka Wanzania kutulia wakati […]

Read More..