-->

Daily Archives: June 24, 2017

Rayvanny Ameshinda Tuzo ya BET 2017

Post Image

Staa wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka WCB ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist. Alichokiandika Diamond Platnumz baada ya Rayvanny kushinda tuzo ya BET 2017 kama ‘Hatimaye leo Unakuja nayo Tanzania Dah! ?….Zaidi ya miaka mi 3 tunaenda na kurudi Patupu….Hakika Maisha Uvumilivu na kutokata tamaa…. BRING IT HOME […]

Read More..

Diamond Akana Kumuandikia Wema Sepetu Wimbo...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema si kweli wimbo wake mpya ‘I Miss You’ aliuandika maalumu kwa ajili ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu. Akizungumza na kipindi cha The Playlist cha Times FM, Diamond ameeleza yeye kuandika nyimbo kutokana na hisia alizonazo kwa wakati huo na huangali soko lipo vipi. “Hapana, sio […]

Read More..

Victor Wanyama Apewa Mtaa Ubungo – Dar

Post Image

Meya wa Manispaa ya Ubongo Boniface Jacob, amemtunuku mtaa, Kiungo wa Tottenham ya England Victor Wanyama raia wa Kenya. Jacob ambaye ni Meya akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameonekana kufurahishwa na mchezaji huyo kufika katika eneo lake na kuunga mkono michezo. Hivyo kwa kufurahishwa na namna alichofanya kiungo huyo Mkenya ambaye ni nahodha […]

Read More..

Young Killer Amjibu Nay wa Mitego

Post Image

Baada ya rapa Nay wa Mitego kumchana Young Killer kwenye ngoma yake mpya ‘Moto’ kuwa dogo sasa chali na safari yake kurudi Mwanza inanukia kutokana na msanii huyo kuonekana kupotea kwenye muziki kwa kile anachodai kuwa aliwadharau waliomtoa. Kufuatia diss hiyo Young Killer ameamua kujibu mapigo kwa Nay wa Mitego na kusema kuwa mara kadhaa […]

Read More..

Wastara Amelazwa Hospital Huko Kenya

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma amelezwa hospital huko inchini Kenya akisumbuliwa na mumivu ya mgongo taarifa iliyotolewa na uongozi wake kupitia mtandao wa instagram imeeleza. “Habari za Asubuhi Wapendwa Naomba Tumuweke kwenye Sala Zetu Dada Yetu mpendwa Wastara, kutokana na hali yake Anasumbuliwa na maumivu ya mgongo ambayo yanampelekeaga kupoteza Fahamu, Jana usiku yamemkuta […]

Read More..