-->

Daily Archives: June 19, 2017

Sijafuata Utaratibu wa Alikiba – Abdu Kib...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Abdu Kiba amesema hajafuata utaratibu wa kaka yake ‘Alikiba’ wa kutomfollow mtu yeyote katika mtandao wa instagram. Muimbaji huo amesema kilichopelekea yeye kutomfollow mtu yeyote ni baada ya wadukuzi kuiba akauti yake na alipoirejesha ilimbidi kuwaondoa watu wote waliokuwepo. “Nikizungumzia akauti nakumbuka mwezi mmoja nyuma nikiwa Marekani akaunti yangu walihack kwa […]

Read More..

Niombeeni Dua-Mzee Yusuph

Post Image

Alhaji Mzee Yusuph, amefunguka kwamba wananchi wamuombee dua ili aweze kupata moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki alichofiwa  mke wake  Chiku Khamisi pamoja na mtoto wake mchanga  badala ya kuanza kuongea maneno ya unafiki yasiyokuwa na faida. Alhaji amefunguka hayo mara baada ya kuwapumzisha vipenzi vyake hivyo makaburini na kusema kwamba badala ya watu kuanza […]

Read More..

Kigogo IPTL, Rugemalira Wafikishwa Mahakama...

Post Image

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imewafikisha mahakamani, mmiliki kampuni ya PAP, Habirnder Seth Singh na mfanyabiashara James Rugemalira kwa makosa ya uhujumu uchumi. Akizungumza na waandishi wa habari, leo Jumatatu, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Kamishna Valentino Mlowola amesema, “Leo nawapa taarifa kuwa tunawafikisha mahakamani watuhumiwa wawili, kwa makosa ya kuhujumu uchumi na […]

Read More..

Ebitoke: Ben Pol Akinikataa, Usichana Wangu...

Post Image

TASNIA ya ucheshi nchini imekuwa na idadi ndogo ya wachekeshaji wa kike, hali kadharika wa kiume wamekuwa wakikumbana na changamoto kadhaa zinazopeleka sanaa yao kutotiliwa uzito mkubwa licha ya umuhimu wake, angalau kwa sasa tunaweza kuona wachekeshaji wa kisasa wakiingiza fedha ndefu. Wiki za hivi karibuni mchekeshaji wa kike, Ebitoke amekuwa kwenye vinywa vya wapenda […]

Read More..

Kinachomsumbua Roma Mkatoliki

Post Image

Rapa Roma Mkatoliki aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na tungo zake zenye kugusa jamii na maisha ya kila siku ya watu, amefunguka na kusema toka ametekwa na kuachiwa afya yake kiujumla imeimarika ila bado anatatizo katika kidole chake cha mwisho. Roma Mkatoliki anadai kuwa kidole hicho kilivunjika lakini hata baada ya kufanyiwa matibabu bado kidole hakijaweza […]

Read More..

Gig Money Afungukia Kupungua Kwake

Post Image

BAADA ya kuonekana amepungua katika picha mbalimbali za mitandaoni na kuzua minong’ono kwa baadhi ya mashabiki wake, Gift Stanford (Gig Money) amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake, Mo J, ndiye anayetaka apungue. Gigy ameongeza kwamba, mwonekano huo ndio unaoendana na umri wake, kwa kuwa bado msichana mdogo kiumri, hivyo mwili mkubwa kwake haumuonyeshi uhalisia wake. […]

Read More..

Rose Muhando, Hii Ni Fedheha Kubwa Kwako!

Post Image

NI jambo lisilohitaji mjadala, kukubaliana kwamba Rose Muhando, ni mmoja wa watu ambao Muziki wa Injili Tanzania, una damu yake, hasa unapozungumzia kile kitendo cha kuutoa ndani ya nyumba za ibada na kuuleta nje, tena kwenye majukwaa. Ndiyo, Gospo ni muziki wa ndani ya nyumba za ibada, ukipigwa na wanakwaya kwa miaka mingi hapa kwetu […]

Read More..

Nyie Acheni Kumpakazia Diamond

Post Image

KAMA kuna habari inayobamba kwa sasa katika mitaa ya Jiji la Dar es Salaam basi ni ishu nzima ya Diamond Platinumz. Jamaa amekuwa gumzo kutokana na kuwepo kwa taarifa kwamba kidume kimefanya yake kwa kuwajaza mimba warembo Hamisa Mobetto na Peneal Mwingilwa aliowahi kutoka nao kimapenzi kabla ya kujituliza kwa Zari the Boss. Warembo hao […]

Read More..