-->

Daily Archives: June 28, 2017

Picha: Mapokezi ya Rayvanny Akiwa na tuzo ...

Post Image

Leo mchana kwenye majira ya saa tisa, msanii Rayvanny aliwasili nchini akiwa na tuzo yake ya BET ambayo aliinyakuwa usiku wa Jumamosi nchini Marekani aliwasili katika uwanja wa JK. Nyerere na kupata mapokezi makubwa kama ya kifalme. Hitmaker huyo wa Mbeleko alipokelewa katika uwanja huo na mabosi wake wa WCB wakiongozwa na Diamond, Mkubwa Fella, […]

Read More..

VIDEO: Kassim Awajibu Wanaoponda Muonekano ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Kassim Mganga amefunguka kwa kusema hajachukizwa na maneno aliyotupiwa na mashabiki zake  baada ya kubadili muonekano wake kwa kuwa ni jambo alilokuwa analitegemea tangu awali. Kassim  amesema mashabiki zake wamechukizwa na muonekano wake mpya aliokuja nao huku wengine wakimwambia kwamba  muziki anaoufanya na jinsi alivyopaka ndevu rangi havifanani kabisa. “Unajua unapofanya jambo lazima utegemee […]

Read More..

Donald Ngoma Asaini Yanga

Post Image

Mshambuliaji wa  Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu ujao. Ngoma ambaye alikuwa akihusishwa kujiunga waponzani wa Yanga, Simba kabla ya kuzuka kwa taarifa za kujiunga na klabu ya Polokwane City inayoshiriki Ligi ya kuu ya Afrika Kusini ‘Primiership ABS‘ ambapo alitua nchini usiku […]

Read More..

Mzee wa Upako Awafungukia Bongo Movie

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo alimaarufu kama ‘Mzee wa Upako’ anashangaa Waigizaji wa Bongo Movie kwa kuigiza vitu ambavyo havina uhalisia kama filamu za wenzetu walioendelea. Mzee wa Upako amesema anawashangaa Waigizaji hao kuandamana kwa kudai wanaharibiwa soko na filamu za kigeni ile hali vitu wanavyoigiza havina uhalisia kabisa kwenye jamii yetu […]

Read More..

Viongozi Wawili Wapigwa Risasi Kibiti

Post Image

Kibiti. Viongozi wawili wamepigwa risasi katika Kijiji cha Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti usiku wa kuamkia leo (Jumatano). Waliopigwa risasi wametajwa kuwa ni mtendaji wa kijiji hicho, Shamte Makawa na mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi, Maiko Nicholaus. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amekiri kutokea kwa tukio hilo. Amesema polisi wameenda […]

Read More..

Rayvanny wa WCB Kutua Bongo Leo

Post Image

Msanii wa kizazi kipya, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017, atawasili nchini leo saa 8 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Rayvanny alipata tuzo hiyo nchini Marekani Juni 25 na kuwa msanii wa kwanza kushinda tuzo hizo kubwa. Rayvanny ameambatana na Babutale ambaye ni mmoja […]

Read More..

Alikiba na Diamond Wananiumiza Sana Kichwa ...

Post Image

Msanii wa muziki aliyewahi kufanya vizuri na wimbo Binti Kiziwi,  Z Anto amesema siku  yoyote kuanzia sasa anaachia ngoma yake mpya na video huku akidai watu anaowawaza na kuwafikiria sana kuwa ni Alikiba, Diamond Platnum pamoja na Vanessa Mdee. Z Anto ameiambia Enewz ya EATV kuwa ujio wake mpya katika muziki wa bongo fleva unakuja […]

Read More..