-->

Daily Archives: June 8, 2017

Bajeti ya Mpango Yaibua Shangwe

Post Image

Serikali  ya Jamuri ya Muungano wa Tanzania imewasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2017/18, huku ikiwa imetangaza kufuta na kupunguza tozo, ushuru na kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye sekta mbalimbali hapa nchini. Bajeti hiyo imewasilishwa leo Juni 08, na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ambapo amependekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko […]

Read More..

R.O.M.A Mkatoliki Karudi, Makamuzi Yanaende...

Post Image

RAPA kipenzi cha Watanzania, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ amefunguka kuwa afya yake imeimarika na sasa yupo tayari kupanda jukwaani kukamua shoo kama kawaia yake. ROMA ameyasema hayo leo wakati akitoa neno la shukrani kwa uongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Glopbal Publishers kwa kuendelea kumsapoti, kufanya naye kazi, kuboresha mahusiano yaliyo mema na kumfariji hasa […]

Read More..

Peter Msechu Atangaza Kununua Nyimbo

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Peter Msechu amesema kutokana na muziki wake kwa sasa kuhitaji mchango wa watu wengi ili kuwa bora zaidi amelazimika kutoa fursa kwa mashabiki wake kumuandikia nyimbo na kununua. Mwimbaji huyo ameeleza kuwa mtu yeyote mwenye wimbo mkali amtafute na wakae chini kuongea kwa ajili ya kupatana bei, lakini kiasi cha fedha […]

Read More..

Sitegemei Muziki Kuishi Mjini – Shetta

Post Image

Rapa anayewakilisha Ilala, Shetta ‘Baba Qayllah amefunguka na kudai kwamba haishi kwa kutegemea kufanya ‘show’ ndio maana maisha yake hajawai kuyumba hata kama asipotoa nyimbo kwa muda mrefu. Shetta amefunguka na kusema hizo hizo pesa anazokusanya kwenye muziki amewekeza kwenye biashara kubwa na ndogo ambazo zinamkimu yeye pamoja na familia yake na siyo ‘show’ za muziki […]

Read More..

Futari Zao Mbona Freshi Tu

Post Image

WAUMINI wa dini ya Kiislam kwa sasa wapo kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, moja ya nguzo muhimu katika imani ya dini hiyo. Hiyo ni nguzo ya nne kati ya nguzo tano ambapo waumini hujizuia kula na kunywa nyakati za mchana, sambamba na kujipinda kufanya ibada ili kufanya toba na kumwomba Mungu kuwafutia madhambi […]

Read More..

Huddah: Sitaki Kuolewa

Post Image

MWANAMITINDO maarufu nchini Kenya, Huddah Monroe, amefunguka na kusema kwamba hana mpango wa kuolewa katika maisha yake. Mrembo huyo ambaye hakauki mitandaoni, amekuwa akihusishwa kutoka na nyota wa soka wa timu ya Taifa ya Kenya na klabu ya Tottenham ya nchini England, Victor Wanyama, lakini amekuwa akikana taarifa hizo na sasa ametangaza kwamba hana mpango […]

Read More..

VIDEO: Simgandi Mume Wangu – Riyama

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Riyama Ally amekanusha zile tetesi za yeye kumganda mume wake kwa wivu mpaka katika kazi zake anazozifanya za kimuziki na kudai yeye aliombwa kufanya hivyo.     Riyama amebainisha hayo baada ya watu kumuona katika video ya muziki ya msanii wa bongo fleva Leo Mysterio ambaye ndiyo mume wake huku […]

Read More..