-->

Daily Archives: June 17, 2017

Hivi Punde: Mke Mdogo wa Mzee Yusuf Amefari...

Post Image

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bendi ya Jahazi Modern, Mzee Yusuf amefiwa na mkewe usiku huu. Mmoja wa Wakurugenzi wa Jahaz Modern Taarab, Mzee Juma Mbizo ameiambia Global Publishers kuwa bi Chiku, ambae alikua mke mdogo wa Mzee Yusuf amefariki dunia katika Hospitali ya Amana wakati akijifingua. Mtoto nae pia amefariki. Pumzika kwa amani Chiku. Pole kwa […]

Read More..

Dokii Afungukia Kurudi Kuigiza Vichekesho (...

Post Image

Mwimbaji na msanii mkongwe wa maigizo Tanzania Dokii ameamua kurudi kwenye uigizaji kwa namna ya pekee baada ya kugeukia vichekesho ambapo mara hii ameungana na Timamu na mchekeshaji Mpoki. Kwenye EXCLUSIVE Interview na Ayo TV Dokii amekiri kuwa kimya kwa muda mrefu akifanya biashara tofauti ya muziki na uigizaji lakini sasa ameamua kurejea akigeukia vichekesho. […]

Read More..

Asilimia 61 Tanzania Kuwa Jangwa-Makamba

Post Image

Takwimu zinaonyesha kwamba nchi ya Tanzania ipo hatarini kugeuka jangwa ambapo asilimia 61 ya maeneo ya nchi tayari yapo katika hatari zaidi ya ukame kutokana na ukataji miti hovyo. Akizungumza ofisini kwake mjini Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba amesema kwamba mikoa mbalimbali nchini imekwishaanza kuathirika na hali […]

Read More..

Mtanzania Ahukumiwa Jela Miezi 3 Uingereza,...

Post Image

Mwanaume mmoja mwenye asili ya kitanzania, Omega Mwaikambo (43) amekamatwa nchini Uingereza kwa kosa la kuweka picha za mwili wa mtu aliyefariki katika ajali ya moto kwenye mtandao wa Facebook. Mwaikambo ameukumiwa kifungo cha miezi miatatu jela pamoja na kulipa faini ya kwenda jela miezi 3 kwa kosa hilo huku akitakiwa pia kulipa faini ya […]

Read More..

Gabo Amkana Wema Sepetu

Post Image

Muigizaji anayesadikika kuwa ni pendwa wa kiume hapa nchini Tanzania, Gabo Zigamba amekanusha tetesi zinazoendelea kuhusu kuwa na uhusiano wa kimapenzi baina yake yeye na Muigizaji Wema Sepetu walipokuwa wakitengeneza filamu mpya ya Kisogo. Akiwa jana kwenye kipindi cha FNL cha EATV, Gabo aliweka wazi kuwa maneno ya kuzushiwa kati yake na malkia huyo wa […]

Read More..