-->

Daily Archives: June 18, 2017

Muongozaji wa filamu ya The Karate Kid na R...

Post Image

Mtayarishaji na Muongozaji wa filamu za Rocky na The Karate Kid na mshindi wa tuzo za Oscar, John G. Avildsen amefariki dunia. Mtoto wa John Avildsen aitwaye Avildsen Anthony ameviambia vyombo vya habari leo nchini Marekani kwamba baba yake amefariki kwa ugonjwa wa saratani katika hospitali ya Sinai Medical Senter mjini Los Angeles. Filamu ya […]

Read More..

Namiliki Fremu Zaidi ya 70 – Z Anto

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi ambaye aliwahi kutamba na ngoma kama Binti kiziwi, Mpenzi jini na Kisiwa cha Malavidavi Z Anto amefunguka na kusema kuwa hapa mjini anamiliki fremu za biashara zaidi ya 70. Z Anto anasema kuwa yeye ni kama baadhi ya wasanii ambao wamekuwa na maneno mengi kuliko utekelezaji ndiyo maana amekuwa akizidi […]

Read More..

Afande Sele Atoa Ujumbe Huu kwa Kina Baba W...

Post Image

Ikiwa leo ni siku ya akina Baba Duniani Mfalme wa Rhymes nchini Tanzania, Afande Sele amewaasa akina Baba wote ulimwenguni kukumbuka majukumu yao kwa watoto na sio kuishia kuwapa mimba tuu akina mama bila kutunza watoto. Afande Sele ambae ni mtoto Baba wa watoto wawili amesema jukumu la Baba lisiishie kutia mimba tuu bali lije […]

Read More..

Sitegemei Kugombana na Alikiba – Bara...

Post Image

Msanii Baraka The Prince amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye hana tofauti yoyote na Alikiba na kudai kuwa watu wa mitandaoni ndiyo wamekuwa chanzo cha kusambaza maneno hayo kuonyesha yeye ana tofauti na Alikiba. Baraka The Prince amedai kuwa yeye hawezi kugombana na Alikiba na wala hategemei kuja kumkosea kwa kuwa ni moja kati ya […]

Read More..

Gabo: Najengea Daraja la Kuelekea Mafanikio...

Post Image

Dar es Salaam. “Aliyeanzisha virusi kwenye simu, kompyuta, bila shaka alitafuta suluhisho la virusi hivyo akapata tiba yake (anti virus). “Kwa sababu waigizaji ndiyo chanzo cha kufika hapa filamu zilipo, hatuna budi pia kutafuta suluhisho la tatizo, ” Hivyo ndivyo anavyoanza kueleza mwigizaji Gabo Zigamba. Gabo anasema mashabiki wa filamu licha ya kupenda burudani wamechoshwa […]

Read More..

Snura na Ben Pol Eti Wanazingua!

Post Image

WANAZINGUA. Hayo ni maneno ya mashabiki wakiwatupia wasanii Snura Mushi ‘Chura’ na Ben Pol baada ya wasanii hao kujibizana wenyewe kwa wenyewe kwenye vyombo vya habari na kugeukana. Snura na Ben Pol, katika Usiku wa Fiesta Dodoma mwishoni mwa mwaka jana, wakati wanatoa burudani walionekana wakikumbatiana kimahaba huku wakipeana mabusu moto moto jukwaani na kusababisha […]

Read More..