-->

Daily Archives: June 3, 2017

Nimepambana Mwenyewe Kufikia Hapa- Snura

Post Image

Muigizaaji na Mwimbaji, Snura Mushi mwenye ‘hit’ ya ‘Nionee wivu’ amesema kuwa mafanikio aliyonayo sasa ni kutokana na juhudi zake binafsi za upambanaji pasipo kumtegemea mwanaume yoyote kwenye maisha yake. Snura amebainisha hayo hivi karibuni alipokuwa akieleza ni namna ganii aliweza kupambana hadi kufikia alipo leo, huku akifafanua kwamba  baadhi ya watu kuwa na dhana iliyojengeka […]

Read More..

Rais Magufuli Amteua Anna Mghwira Kuwa Mkuu...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Ikulu leo Jumamosi imesema kuwa Mgwira amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Saidi Meck Sadiki. Katika taarifa hiyo Rais Magufuli pia amewateua Meja Jenerali Issah Suleiman na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi(DIGP), Abdlrahman Kaniki […]

Read More..

Kizazi cha Kina Gabo, Rammy Gallis Kimefeli...

Post Image

Na RAMADHANI MASENGA BAADA ya Steven Charles Kanumba kufariki, kila mpeda filamu alijua ilikuwa ni fursa ya Ray kulifanya soko namna anavyopenda. Wakati wa uhai wa Kanumba, mshindani wake wa karibu alikuwa Ray. Kwanini sasa watu wasingeamini kuwa baada ya mmoja kuondoka aliyebaki ndiye angekuwa mfalme asiyepingika? Ila bahati mbaya sana haikuwa hivyo. Ray kalala. Aliyeshika […]

Read More..