-->

Daily Archives: June 1, 2017

VIDEO: Jay Moe Amtetea ‘Mamu’

Post Image

Mkongwe ambaye bado anaonesha ubabe wake kwenye game Juma Mchopanga ‘ Jay Moe’ amtetea aliyekuwa msambazaji wa albamu za muziki wa bongo ‘Mamu’ na kusema kuwa hakuwahi kuwanyonya wasanii kama jinsi watu wanavyodai bali wezi walimzidi ujanja. Akizungumza kupitia eNewz ya EATV, Jay Moe amedai kuwa msambazaji huyo alizidiwa ujanja na baadhi ya maharamia wa kjazi […]

Read More..

Wolper Ataja Vitu Anavyovikumbuka kwa Aliki...

Post Image

Msanii wa filamu Bongo Jackline Wolper amefunguka mengi kuhusu Alikiba ambaye alikuwa mpenzi wake. Wolper amedai kuwa anakumbuka mambo mengi kutoka kwa mpenzi wake huyo, zaidi akikumbuka upole wake pamoja na unyenyekevu. “Mengi nakumbuka, kikubwa ni upole wake pamoja na unyenyekevu. Ni tofauti na wanaume wengine ambao nimewahi kukutana nao,” muigizaji huyo ameliambia gazeti la […]

Read More..

Alikiba Uso kwa Uso na Davido

Post Image

Mfalme wa bongo fleva Alikiba mwaka huu ameamua kuzunguka duniani kukutana na mashabiki wake na kutanua wigo wa muziki, mwezi Julai anatarajia kuanza ziara yake katika bara la Ulaya ambapo ‘show’ ya kwanza ataipiga na mkali kutoka Nigeria Davido. Katika ‘show’ hiyo ambayo itawakutanisha Alikiba na Davido itafanyika Ubelgiji na baada ya hapo mkali huyo […]

Read More..