-->

Daily Archives: June 15, 2017

Gabo Zigamba Ajinadi Kuikomboa Filamu

Post Image

Muigizaji Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amefunguka kwa kudai kwamba ameamua kujitolea kufa na kupona ili kunusuru tasnia ya filamu isonge mbele kwa kutumia Teknolojia ya simu  ambayo itawasaidia Watanzania kupata filamu bure na kwa urahisi. Gabo amedai hayo wakati akizindua filamu yake ya ‘Kisogo’ kwamba ameamua kutoa sehemu ya maisha yake ili kuikomboa tasnia ya […]

Read More..

Wolper: Saida Karoli Apewe Heshima Yake

Post Image

DAR ES SALAAM: Kinara wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka wazi ya moyoni kuwa, mkali wa Muziki wa Asili, Saida Karoli anastahili kupewa heshima kutokana na namna alivyoutangaza Muziki wa Asili. Akichonga na 3 Tamu, Wolper alifunguka kuwa, Saida ni bonge moja la mwanamuziki anayemkubali zaidi kutokana na uwezo wake ndiyo maana ameposti […]

Read More..

Roma Mkatoliki Ageukia Ualimu

Post Image

Msanii wa muziki wa Hip hop, Roma Mkatoliki leo amegeukia kazi yake ya zamani ya ualimu kwa siku 1 baada ya kuamua kwenda shule ya msingi ya Mchikichini iliyopo Mbagala kuwapa hamasa wanafunzi kupenda somo la hesabu na kukabidhi vitabu vya hesabu. Rapa huyo anasema kuwa siku zote muziki wake umekuwa ni unaogusa maisha ya […]

Read More..

“He! Mimi? Mjamzito?”-Uwoya

Post Image

DAR ES SALAAM: Sexy lady wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krish’ amefungukia madai kuwa, kwa sasa ametengeneza urafiki wa muda na ndimu, samaki wabichi na ukwaju kwa kinachosemekana ni mjamzito. Huku akionesha kushtushwa na habari hizo zinazoenezwa bila kutaja mhusika wa kibendi hicho, Uwoya alikuwa na haya ya kusema: “He! Mimi? Mjamzito? […]

Read More..

Mwanaume Aliyeonekana Zari Kwenye ‘Sw...

Post Image

Mwanaume ambaye aliyedaiwa kumshika mzazi mwenza wa msanii Diamond, Zari Hassani katika bwawa la kuogelea, Edwin Lutaaya amefunguka juu ya tuhuma hizo. Edwin ambaye ni ndugu wa mume wa zamani wa Zari, amedai kuwa hakumshika Zari kama mitandao ilivyodai na ile picha ilipigwa na mkewe ambaye naye alikuwepo katika eneo hilo. Edwin ambaye amefanya mahojiano […]

Read More..