-->

Daily Archives: June 20, 2017

Majonzi kwa Yanga na wadau wa soka kifo cha...

Post Image

Dodoma. Tanzia tanzia.. Ni majonzi kwa wadau wa soka Tanzania kufuatia kifo cha shabiki maarufu Yanga, Ally Yanga kilichotokea mchana wa leo mkoani Dodoma wakati akiwa kwenye mbio za mwenge wa Uhuru. Taarifa za awali zinasema shabiki huyo amefikwa na umauti katika kijiji cha Chipogolo kilichopo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma njia ya kwenda mkoani Iringa […]

Read More..

Saida Karoli: Walioimba Wimbo Wangu Hawakun...

Post Image

MWANAMUZIKI wa nyimbo za asili, Saida Karoli, amesema hajawahi kupokea fedha yoyote kutoka kwa wasanii waliorudia ama kutumia vionjo vya wimbo wake wa ‘Chambua kama Karanga’ tofauti na inavyodhaniwa na wengi. Saida aliweka wazi suala hilo jana, alipotembelea Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, inayochapisha magazeti ya MTANZANIA, BINGWA, DIMBA na RAI, iliyopo Sinza Kijiweni, […]

Read More..

Sijawahi Kukaa na Mpenzi Zaidi ya Miezi Tis...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amesema mahusiano yake yaliyowahi kudumu zaidi ni miezi tisa tu. Muimbaji huyo ameeleza kuwa sababu inayopelekea hali hiyo ni kwamba watu wanaoingia katika mahusiano na yeye huwa na matarajio makubwa na wanapokuta sivyo wanakimbia. “Miezi tisa ndio longest relationship kwa sababu unajua yaani nimekutana na watu wa aina tofauti, […]

Read More..

VIDEO : Snura Awakanya Wasanii

Post Image

Muimbaji na muigizaji bongo, Snura Mushi amewakanya vijana wanaotaka kuingia katika tasnia ya sanaa waepukane na vishawishi vya kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya huku akidai kufanya hivyo hakufanyi uonekane unaenda na wakati. Snura amebainisha hayo kupitia kipindi cha eNewz baada ya kutuhumiwa akijihusisha na matumizi ya dawa za kulevya ambazo zinamfanya kumpa mizuko […]

Read More..

Nikki : Makampuni ya Kigeni Yataifishwe

Post Image

Hit maker wa ngoma ya ‘Quality Time’, Nikki wa Pili amefunguka na kushauri kwamba  makampuni ya kigeni yanayopewa nafasi ya uwekezaji nchini yataifishwe ili kutoa nafasi kwa wazawa kuendelea na biashara hiyo ikiwa ni pamoja na kusaidia kutoa ajira. Nikki amefunguka hayo ikiwa ni siku chache tangu  kupata nafasi ya kuhudhuria uwasilishwaji wa ripoti za  mchanga […]

Read More..

Bill Nass Afunguka Kinachoendelea Kati ya W...

Post Image

Story kubwa ambayo inatrend kwenye Bongofleva ni kudaiwa kuwepo kwa vita ya maneno kati ya Wakazi na Godzilla ambapo kila mmoja kwa nyakati tofauti amejinadi kuwa ni bora zaidi ya mwingine kitu kilichopelekea kutoa nyimbo zinazosemwa wanaimbana. Inadaiwa pia kutokana na vita hiyo ya maneno kumewafanya wasanii hao kutunga nyimbo za tambo mbapo wakati Wakazi […]

Read More..

Mtu Mmoja Akamatwa Akiingiza Nyama Zikiwa n...

Post Image

Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Ramadhani Nombo mkazi wa Dar, amekamatwa leo Juni 19, 2017 akijaribu kuingiza simu 5 katika Gereza la Mahabusu la Keko.     Kijana huyo alikuwa amezifunga simu hizo kwenye mapande ya nyama yaliyorostiwa kama inavyoonesha kwenye picha. Simu hizo zilikuwa ziingizwe gerezani humo ili wapewe wafungwa kwa ajili ya […]

Read More..

Aah! Diamond na Zari Acheni Hizo Bana

Post Image

BAADA ya mrembo Zari Hassan ‘Zari the boss Lady’ wiki hii kuonekana akiogelea na mwanamume mmoja ambaye haijajulikana ni nani, unaambiwa Diamond ni kama alipagawa. Nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuziona hizo picha alizichukua kama zilivyo na kuziposti katika ukurasa wake wa Inastagram na kuandika, ‘Ndiyo maana wakati mwingine naonaga bora […]

Read More..

Bongo Movie ni Muda Wetu wa Kurelax – Aun...

Post Image

Muingiza Aunt Ezekiel amesema Bongo Movie haijafa ila ni muda wao wa kupumzika ili kujipanga. Mrembo huyo amefafanua kuwa hiki ni kipindi cha wao kujipanga na wale wanaofikiri Bongo Movie haitarejea katika kiwango chake wanakosea. “Bongo Movie tunaweza kusema ni kama maisha ya binadamu, kuna time analala, anaamka, anapika, so kunakuwa na kazi tofauti tofauti. […]

Read More..