-->

Daily Archives: June 6, 2017

VIDEO: Jay Moe Amkana T-Touch

Post Image

Msanii wa mkongwe wa ‘ hip hop’ mwenye hit ya ‘Nisaidie kushare’ Jay Moe amefunguka kwa kusema hawezi kusainiwa na mtu yoyote yule akidai yeye mwenyewe ana label yake ya So Famous na kuna wasanii wanamtegemea. Jay Moe amefafanua hayo baada ya kuenea tetesi zilizokuwa zikiwaaminisha watu kuwa huenda akasainiwa na Mr T-Touch ili aendelee […]

Read More..

Johari Apata Pigo

Post Image

DAR ES SALAAM: Pole! Staa wa kitambo wa sinema za Kibongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ amepata pigo ‘hevi’ baada ya kufiwa na shangazi yake aliyemlea tangu akiwa mtoto, kumsomesha na kumfundisha maisha hivyo kuondoka kwake kumemuachia maumivu na pigo kubwa. Johari, akiwa nyumbani kwao mkoani Shinyanga kuhudhuria msiba huo aliliambia Wikienda kwa njia ya simu […]

Read More..

Rose Mhando Ashililiwa Polisi Sababu ya Lak...

Post Image

Msanii wa nyimbo za injili nchini, Rose Mhando anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida kwa mahojiano kufuatia tuhuma zinazomkabili za kijipatia sh. 950,000 kwa njia ya udanganyifu. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, ACP Debora Magiligimba amesema msanii huyo aliweka chini ya ulinzi Juni Mosi mwaka huu majira ya mchana wilayani Ikungi baada ya […]

Read More..

Wema Sepetu: Nisameheni Nipo Kwenye Ibada

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Wema Sepetu, amewaomba radhi watu wote aliowahi kuwakosea na amesema amewasamehe wote waliomkosea. Wema alisema kwa sasa ameelekeza ibada yake mwezi huu mtukufu wa Ramadhani ili kusudio alilojiwekea kabla ya mfungo huu litimie. “Ninaamini kabisa ibada yangu ninayoifanya hadi usiku itapokelewa vyema na itafanikisha azma yangu na kuondoa makandokando na […]

Read More..