-->

Monthly Archives: September 2017

Aika: Mnaosubiri Niolewe na Nahreel Mtasubi...

Post Image

BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa mwanadada Aika Mariale na mpenzi wake wa siku nyingi, Nahreel, wanaounda kundi la muziki wa kizazi kipya la Navy Kenzo, wapo kwenye mipango ya ndoa, mwanadada huyo amefunguka kuwa hakuna kitu kama hicho kwa sasa. Akipiga stori na Mikito Nusunusu, Aika wa nahreel alisema watu  wanapenda kuzusha mambo wasiyoyajua na suala hilo […]

Read More..

Gabo Zigamba ni kirusi kwenye tasnia ya fil...

Post Image

Msanii wa filamu aliyewahi kufanya vizuri na tamthilia ya Siri ya Mtungi, Duma, amefunguka kwa kudai kuwa muigizaji bora wa filamu 2016 kupitia tuzo za EATV Awards, Gabo Zigamba ni kirusi katika tasnia ya filamu. Duma amedai muigizaji huyo hawezi kuvaa vizuri na kujiweka kistaa hali ambayo inachafua tasnia ya filamu. “Gabo ni kirusi, popote […]

Read More..

Ben Selongo Aikacha Bongo Movie?

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, Ben Branco Selengo amefunguka na kusema sasa ameamua kuimba muziki wa singeli huku akiwataka wakali wa singeli kujipanga kwani amekuja kuchukua pesa zilizopo kwenye muziki wa singeli. Ben anasema kwenye filamu hakuna msanii ambaye anaweza kuchukua nafasi yake hivyo ameamua kwenda kwenye muziki kutafuta mkwanja huku akidai kuwa […]

Read More..

Kisa Gauni, Wema Ashindwa Kuhudhuria Uzindu...

Post Image

Diva anayebamba kunako tasnia ya filamu Bongo, Wema Sepetu, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kuhudhuria uzinduzi wa viatu vya x- wake, Idriss Sultan, kutokana na fundi kumharibia nguo yake. Wema ameonyesha kusikitishwa kwa kitendo hiko, hasa ukizingatia kwamba Idriss alimsapoti kwa asilimia kubwa katika uzinduzi wa filamu yake ya Heaven Sent. Na kupitia ukurasa wake wa Instagram, amemuomba radhi na kumuelezea kilichotokea. “Siku […]

Read More..

Idriss Amuonea Huruma Sana Jack Wolper kwa ...

Post Image

MCHEKESHAJI na muigizaji wa filamu Bongo Idris Sultan amewaacha wapenzi wa filamu pale aliposema kuwa anamuonea huruma sana Jack Wolper kwa mikasa inayomkabili katika maisha yake ya mahusiano kwani amekuwa hana bahati kila mwanaume anayekutana naye lazima amuumize na hayo usimlimua akipigwa chini. “Juzi hapa tumesikia kuwa alipata mwanaume akaenda kwake hana hela mama akajua mume […]

Read More..

Charugamba Ammwagia Sifa Rose Mhando

Post Image

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili, Ussy Charugamba, amesema katika wakongwe kwenye tasnia hiyo, anamkubali zaidi Rose Mhando kwa kuwa amewaonyesha njia waimbaji wengi. Bosi huyo wa Ussy Production, ameliambia MTANZANIA kuwa anajiona mwenye bahati kufanya kazi na Rose Mhando kwa kumshirikisha kwenye wimbo wake unaoitwa ‘Wema’ ambao utakuwa kwenye albamu yake ya sita. “Rose Mhando […]

Read More..

Mahakama yafuta ushindi wa Uhuru Kenyata

Post Image

Mahakama ya juu nchini Kenya imefuta ushindi wa Rais Uhuru Kenyata kwa uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017, na kutaka uchaguzi huo urudiwe.   Hukumu hiyo imetolewa leo na jopo la majaji 6 ilirushwa moja kwa moja kwenye vyombo vya habari nchini Kenya, imesema uchaguzi huo utarudiwa baada ya siku 60. Akisoma uamuzi huo Jaji Mkuu […]

Read More..

Jux Amlilia Vanessa Mdee

Post Image

Msanii wa muziki bongo fleva Juma Jux aonyesha bado anahitaji uwepo wa aliyekuwa mpenzi wake msanii Vanessa Mdee, kwa kushindwa kuvumilia maumivu ya kuachana na kuweka bayana kwamba atafarijika sana endapo atamuona tena kwa mara nyingine. Jux amebainisha hayo kupitia ukurasa wake Instagram ambapo  ameandika ujumbe unaohusu kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, na kusema miaka ya […]

Read More..