Matukio Yaliyobamba 2016 Kwenye Burudani
MWAKA huu umeonekana kuwa funzo kubwa kwa wasanii nchini baada ya waliokuwa wakitumia dawa za kulevya kuachana na utumwa huo na kurudi katika kazi zao za sanaa. Waliojitangaza kuwa walikuwa watumwa wa dawa hizo na wameamua kupata matibabu ya kuachana nazo ni pamoja na Rehema Chalamila ‘Ray C’ ama kiuno bila mfupa kama wengi […]
Read More..






