-->

Daily Archives: September 8, 2016

Mr Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana

Post Image

BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da’ Prince wameamua kuwa kitu kimoja. Wawili hao walipatana saa chache kabla ya kufanyika Tamasha la Fiesta Shinyanga ambapo walikuwa wameenda kutembelea maporomoko ya Maji Moto pande za Shinyanga. Tovuti hii ilipata nafasi ya kuchonga na Barakah akiwa pamoja na Mr […]

Read More..

Aunty Ezekiel Afunguka Sababu ya Yeye Kujia...

Post Image

Nyota wa filamu nchini Aunty Ezekiel amefunguka kuwa kipindi cha nyuma kabla ya kuwa na mahusiano na Mose Iyobo na kabla ya kupata mtoto alikuwa akijiachia sana kwa lengo la kutafuta kiki na wala hakuwa na woga wa kufa kwani hakuwa anategemewa na mtu. Aunty Ezekiel alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa […]

Read More..

KR:Nipo Tayari Kurudi TMK Wanaume Family

Post Image

KR Muller amesema kama angetaka kurudi TMK Wanaume Family kwa Juma Nature angekuwa amerudi kwa kuwa hakuna aliyemfukuza. Rapper huyo ambaye kwa sasa yupo ‘Rada Entertainment’ kwa TID, ameiambia Bongo5 kuwa bado anafurahishwa na maisha mapya ndani ya Rada Entertainment. “Mimi sijafukuzwa TMK, na pia naishi Temeke, kwa hiyo kama ningeamua kurudi TMK hakuna mtu […]

Read More..

Shilole Atoboa Siri ya Kupenda Vijana Wadog...

Post Image

Mwanamuziki wa Bongo flava ambaye ana vimbwanga kila siku kwenye mitandao ya kijamii kwa skendo ya kutoka na vijana walio chini ya umri wake amefunguka na kusema asipangiwe ni nani wa kuwa naye. Akiongea mbele ya Camera za eNewz, Shilole amesema mashabiki wanahitaji yeye awe na mzee lakini yeye haoni haja ya kuwa na mzee […]

Read More..

Kutoka Maisha Plus Babu Aahidi Tukio Kubwa

Post Image

WAKATI washiriki 29 wa Maisha Plus East Afrika 2016 wakiwa tayari kambini kwa safari ya kuisaka Sh milioni 30 itakayotolewa kwa mshindi mmoja tayari mambo mbalimbali yamepangwa kufanyika. Babu wa kijiji hicho cha Maisha Plus ambaye ndiye mwenyeji wa kijiji hicho ameweka wazi kwamba kuna tukio kubwa litakalofanywa katika kijiji hicho ambalo halikuwahi kutokea huku […]

Read More..