-->

Daily Archives: June 7, 2016

Hamisa Amlipua Lulu

Post Image

Mwanamitindo ambaye pia ni video queen maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto, amemlipua laivu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kisa kikidaiwa ni lile saga la kugombea penzi la kigogo (jina tunalo) ambapo kwa sasa hali ni tete baina ya wawili hao. Hivi karibuni kuliibuka vita kali ya matusi mitandaoni kati ya kundi la […]

Read More..

Aunt Ezekiel: Nipo na Nitaendelea Kuwepo

Post Image

MSANII nyota wa kike wa filamu Bongo Aunt Ezekiel amefunguka kwa kusema kuwa yupo na ataendelea kuwepo katika tasnia ya filamu kwani ndio kazi inayompatia maslahi na heshima kama msanii mwenye hadhi kubwa. Nipo na nafanya kazi zangu za filamu kama kawaida sijapotea katika game kama wengine wanavyosema tena mwaka huu nimetoa kazi nyingi tu […]

Read More..

Kituo cha Life and Sobber House Bagamoyo Ch...

Post Image

Kituo Cha kusaidia Watu walioathirika na Dawa za Kulevya cha Life and Hope Sober House kilichopo Bagamoyo kimekanusha kuwepo kwa taarifa juu ya msanii wa miondoko ya Hip Hop, Rashid Makwiro maarufu kama Child Benz kutoroka kituoni hapo.   Akikanusha tuhuma hizo za kutoroka kwa Msanii huyo, Mkuu wa Kituo hicho, Al-Kareem Bhanji ameeleza kuwa […]

Read More..

Mikopo ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Jo...

Post Image

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Kampasi ya Arusha (kilichofutiwa usajili), waliokuwa chini ya programu ya shahada ya miaka mitano ya ualimu wa sayansi, wametakiwa kusoma ngazi ya cheti au stashahada. Kama watataka kusoma ngazi ya juu, watapaswa kuomba upya udahili. Aidha, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imesema wanafunzi […]

Read More..

Abdukiba Afunguka Kuhusu Kufanya Kazi WCB

Post Image

Msanii Abdukiba ambaye ni mdogo wa Alikiba amefunguka na kusema kama ikitokea WCB Wasafi wakataka kufanya kazi na yeye inawezekana kwani yeye anaangalia mpunga (pesa) zaidi,hivyo kama watakuwa na pesa za kutosha na makubaliano mazuri anaweza kufanya kazi chini la Label hiyo ya ‘WCB Wasafi’ Abdukiba amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East […]

Read More..