-->

Daily Archives: September 7, 2016

Aika Aanika Siri ya ‘Kutoka’

Post Image

MSANII ambaye ni mmoja wa wamiliki wa Lebo ya The Industry, Aika Mareale akiwa pia memba wa Kundi la Navy Kenzo, ametoboa siri ya kutoka kwake kisanaa kuwa ni kutojidharau. Akizungumza na Risasi Vibes, Aika ambao ambaye anaunda kundi hilo akiwa na mpenzi wake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’, akiwa anatamba na kibao chake cha ‘Kamatia Chini’ […]

Read More..

Sina Haraka ya Kupata Mtoto na Jux – ...

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanessa Mdee amefunguka na kuweka wazi kuwa kwa sasa hana haraka ya kupata mtoto na mpenzi wake Juma Jux na kwamba kwa sasa watoto wapo wengi wa kuwalea. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Televison Vanessa Mdee amedai kuwa hana haraka ya kupata mtoto na mpenzi […]

Read More..

Romy Jones Atoa Sababu ya Diamond Kutohudhu...

Post Image

Romy Jons amefunguka Sababu ya Diamond kushindwa kuhudhuria kwenye sherehe yake ya kuzaliwa ambayo imezua tetesi za wawili hao kutoelewana. Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita, Romy alisema, “People don’t understand, halafu huwezi kumuelewesha kila mtu.” “Ile ilikuwa ni party ambayo kila mtu alitakiwa aje afurahi, lakini at the end […]

Read More..

Aunty Ezekiel Afunguka Kuhusu Mipango ya Nd...

Post Image

Nyota wa Bongo Movie Aunty Ezekiel amesema hayuko tayari kuolewa kwa sasa, na kwamba bado hajafikiria kuolewa kwa kuwa suala la ndoa linahitaji maandalizi ambayo dbado hajayafanya kwa sasa. Miongoni mwa story ambazo zilibeba headline juma lililopita, ni pamoja na issue ya mwana tasnia ya filamu nchini, Shamsa Ford kuolewa na mjasiriamali Rashid maarufu kwa […]

Read More..

Juma Nature Amshushia Lawama TID, Kisa KR K...

Post Image

Msanii wa muziki na kiongozi wa Kundi la TMK Wanaume Family, Juma Nature amemtupia lawama mkurugenzi mkuu wa Rada Entertainment TID kwa tuhuma za kumuaribu KR Muller. KR ambaye zamani alikuwa katika Kundi la TMK Wanaume Family na Juma Nature, aliondoka katika kundi hilo mapema mwaka huu na kujiunga na Rader Entertaiment iliyo chini ya […]

Read More..