-->

Hakuna Shida mtu Kuvaa Kimini Kama Mtu Ana ...

Post Image

Staa wa Filamu Bongo Rose Ndauka  amefukunga kuwa haoni kama kuta tatitzo kwa wadada wa bomgo movies kuvaa vimini kwenye filamu wanaozocheza kama wana miguu mizuri ya kuvalia. Akizungumza na eNewz Rose aliweza kutoa maoni yake kuhusiana na kauli iliyokuwa imetolewa na nguli wa filamu nchini Bibi Hindu dhidi ya wasanii wa kike wa Bongo […]

Read More..

Miaka kumi na moja ya Jay Mo bila video

Post Image

Wakati wasanii wengine wa Bongo fleva wakizidi kutoa video kali ili waendelee kuwa juu katika ‘Game’ ya muziki lakini imekuwa tofauti kwa Rapa Jay Mo kwani ana miaka kumi na moja hajaachia video yeyote. Akizungumza na eNEWS Jay Mo alisema mara ya mwisho yeye kutoa video ya ngoma yake ilikua mwaka 2005 ngoma ambayo aliifanya […]

Read More..

Wastara Kufunga Ndoa Kisiri Kabla ya Ramadh...

Post Image

Katika hali ya Kushitukiza inasemekana kuwa staa wa Bongo Movies Wastara Juma ana mipango ya kufunga ndoa siku za usoni kabla ya Ramadhani.   Mtu wa karibu wa Wastara Juma ambaye Hakutaka jina lake litajwe alimthibitishia muandishi wa footprinttz kuwa ni kweli Wastara anatarajia kuolewa. ” Ni Kweli Wastara anafunga Ndoa Siku Si Nyingi Ila […]

Read More..

Picha: Harmonize Amtambulisha Wolper Ukweni

Post Image

Wikiiliyopita staa anaechipukia kwenye bongo fleva Harmonize alimpeleka mpenzi wake Jacqueline Wolper kwao Mtwara alikoenda kutumbuiza kwa mara ya kwanza tangu aukwae ustaa kupitia label ya WCB. “Time Ya Kumsaidia mama Harmo Kuanda Chakula Cha Usiku Mtwara Life @wolperstylish,” aliandika Harmonize kwenye picha inayomuonesha Wolper akichuma matembele shambani. Naye Wolper alipost picha akiwa na mama […]

Read More..

Muigizaji Da Zitta Anusurika Kifo Katika Aj...

Post Image

AKIWA katika harakati za kukamilisha filamu yake mpya ya ‘Nuru’ muigizaji, Zitta Matembo maarufu kwa jina la Da Zitta amenusurika kifo katika ajali ya gari akiwa anaelekea nchini Kenya kwa maandalizi ya filamu hiyo. Muigizaji huyo aliyetamba katika filamu ya ‘Gundu’ aliyomshirikisha Anty Ezekiel mwanzoni mwaka huu alifiwa na baba yake mzazi, Fidelis Hokororo Matembo […]

Read More..

Prof. Elisante Awaasa Wasanii Kuacha haya

Post Image

Serikali imesema ina nia njema na wasanii na kuwataka kutojihusisha na vitu haramu, kwani sio mfano mzuri kwa jamii wakiwa kama kioo kwao. Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo. “Serikali kwa kweli ina nia njema […]

Read More..

KR Mullah Afunguka Kuhusu TMK Family na Rad...

Post Image

Rappa KR Mullah amesema yeye bado ni msanii wa TMK Wanaume Family na Radar Entertainment yupo kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa vijana. Akiongeza na Bongo5 Jumapili hii, KR amesema hawezi kuondoka TKM Wanaume Family kwa kuwa yeye ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi hilo lenye maskani yake Temeke jijini Dar es […]

Read More..

Mtanzania Atajwa Kwenye Orodha ya Forbes Af...

Post Image

Bwana Edwin Bruno, mjasiriamali wa Kitanzania, mshindi wa tuzo ya kijana mwenye mafanikio 2015, mwanzilishi na mkurugenzi wa kampuni ya Smart Codes (www.smartcodes.co.tz) ametajwa katika jarida la Forbes Africa. Kila mwaka, jarida hilo hutoa orodha ya vijana 30 wenye umri chini ya miaka 30 ambao wana nafasi ya kuwa mabilionea wa baadaye. Majina hayo yalikusanywa […]

Read More..

Man Fizo Mkali wa Filamu ya ‘Nimekosea W...

Post Image

Nimekosea Wapi  kutoka Steps Entertainment ni  moja kati ya filamu zenye ubora wa juu zaidi kati ya filamu kadhaa zilizoingia sokoni mwaka huu. Mbali ya kuwepo na mastaa kadhaa kama Gabo Zigamba kwenye filamu hiyo yupo Salum Saleh ‘ Man Fizo’ ndiyo mtengenezaji na amecheza kwenye filamu hiyo. Wadau wengi waliotazama filamu hiyo wamemtabilia kufanya […]

Read More..

Tunaouwa Hip hop ni Wasanii Wenyewe- Fid Q

Post Image

Msanii Fid Q amekiri wazi kuwa wasanii wa Hip hop nchini ndiyo chanzo cha muziki huo kushindwa kukua kwa kasi na kuweza kutoboa kimataifa kutokana na wasanii wenyewe wa Hip hop kutotaka kuwekeza katika kazi zao. Fid Q amesema hayo kupitia kipindi cha eNews na kudai kuwa anakubali kuwa wasanii hao wanaandika vizuri sana, wana […]

Read More..

Shilole, Vanessa Wamaliza Bifu Lao

Post Image

WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.

Read More..

Meneja wa Alikiba Afafanua Kuhusu ‘Al...

Post Image

Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamizi inayofanya kazi na msanii Ali Kiba, Rockstar4000 imetangaza kuingia naye ubia kwa kuanzisha kile kilichopewa jina ‘Alikiba TV.’ Kwa wengi taarifa hiyo iliyoandikwa kwa Kiingereza haijaeleweka vizuri na hivyo nimelazimika kumtafuta meneja wake, Seven Mosha kumuomba atupe ufafanuzi zaidi. “Aikiba amezindua Alikiba TV ambayo ni content kuhusiana na kazi yake […]

Read More..

Wema Awafungukia Wanaosema Anatembea Bajaj ...

Post Image

STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni […]

Read More..

Chief Kiumbe Akinipa Ndinga Sikatai-Young K...

Post Image

Msanii Young Killer ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya akiwa na Mr Blue amefunguka na kusema kuwa ikitokea Chief Kiumbe amempa gari hawezi kukata sababu hakuna mtu ambaye anapenda maisha ya shida au ya chini Young Killer alisema haya kupitia kipindi cha eNEWS na kusema kuwa yeye kuwataja madoni kwenye wimbo wake haina […]

Read More..

Mama Ngwea Afunguka Kuhusu Ngwea Kutumia Ma...

Post Image

Mama mzazi wa msanii Albert Mangwea amezungumzia suala ambalo lilishika vichwa vya habari hususan za burudani kuwa msanii huyo alikuwa anatumia madawa ya kulevya. Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, Mama wa Mangwea Bi. Denisia Constantino amesema mwanaye hakuwa mtumiaji wa madawa hayo, kwani yeye kama mzazi alishawahi kumuuliza na kukataa, na kusema […]

Read More..

Wolper: Lazima Nimzalie Harmonize

Post Image

MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.” Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo […]

Read More..

Picha: Wasanii wa Filamu Wafanya Misa Kumuk...

Post Image

Wasanii wa filimu nchini wakiongozwa na Odama, Ijumaa hii wamefanya misa ya kumbukumbu ya kifo cha msanii wa filamu Rachel Haule. Wasanii mbalimbali kama Ray Kigogo, Odama, Esha Buheti Steve Nyerere, Sabrina Rupia, Maya Mrisho, Senator Msungu Richie Mtambalike, JohariChagula pamoja na Lamata walihudhuia misa hiyo ambayo ilitawala majonzi.  

Read More..

Baba Haji Akomalia Sinema za Kidini

Post Image

MUIGIZAJI mkongwe Bongo, Haji Adam ‘Baba Haji’, amesema baada ya kucheza kwa mafanikio filamu ya Ndoto Bayana, ambayo ina maudhui ya dini ya Kikristo, sasa anakusudia kufanya kazi nyingine kama hiyo, lakini kwa Kiislamu. “Nimejikuta nikipata wazo kuwa naweza nikafanya kazi hizi za kidini na bado nikawa nipo sokoni kama kawaida, kitu kingine kilichonivutia filamu […]

Read More..