-->

Christian Bella Awachambua Diamond na Aliki...

Post Image

Msanii wa Band maarufu kama mkali wa masauti Bongo Christian Bella amezungumzia timu ambazo ziko mitandaoni kati ya Alikba na Diamond kusema kuwa Alikiba ana uzuri wake na Diamond ana uzuri wake kwa kuwa kila mtu anafanya vizuri kwa upande wake. “Diamond ana uzuri wake na Alikiba ana uzuri wake wote na mimi siko kwenye label […]

Read More..

Madee Aumizwa na Picha za Chid Benz Mtandao...

Post Image

Madee ameonyesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya watu kumpiga picha Chid Benz na kuzisambaza mtandaoni. kupitia mtandao wa Twitter ametoa yake ya moyoni kwa kusema kuwa kitendo cha kumpiga picha rapper huyo na kumuanika mitandani ni kumdhalilisha. “Hawa wanaompigapiga picha @ChidiBeenz na kupost kwenye mitandao yao lengo lao kubwa ni nini?mbona tunazid kumdhalilisha?au mnataka […]

Read More..

Siwezi Tena ‘Ku-kiss’ – Aunty Ezekiel

Post Image

Star wa Bongo Movie nchini mwanadada Aunty Ezekiel, amerudi upya kwenye tasnia hiyo huku akiweka wazi baadhi ya mabadiliko aliyoyafanya katika maisha yake kuwa ni pamoja na kutoweza tena ‘ku-kiss’ kwenye movie atakazocheza. Aunty ambaye kwa sasa amerejea na movie mpya inayokwenda kwa jina la Chritmass Eve, amesema kilichomfanya afikie maamuzi hayo ni majukumu aliyonayo […]

Read More..

Mastaa Hawa Wataoana 2017?

Post Image

WAKATI wakielekea kumaliza mwaka 2016 bila ndoa, wasanii hawa wamekuwa mvuto mkubwa kwa mashabiki wao huku wengi wao wakiwatarajia ndoa kwa mwaka ujao wa 2017. Diamond na Zari Mapenzi ya msanii Nassibu Abdul (Diamond) na mwanadada kutoka Uganda, Zarinah Hassan (The Boss lady), yameboreshwa zaidi baada ya kuishi zaidi ya miaka mitatu na kupata watoto […]

Read More..

Papaa Misifa Amuwashia Moto Upya Rich Mavok...

Post Image

Meneja maarufu wa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Papaa Misifa, ameibuka na kuzidi kumuwashia moto Msanii Rich Mavoko ambaye kwa sasa anafanya kazi na lebo ya Wasafi. Misifa akiwa ndani ya FNL alisema Mavoko hana adabu na ni miongoni mwa wasanii wasiokuwa na shukrani kwa yale aliyowafanyia kwa kuwa yeye ndiye aliyewatoa na […]

Read More..

Uchambuzi wa Bongo Movie Mwaka 2016 Part 1

Post Image

TAKRIBANI miaka 21 ya Tasnia ya Filamu Tanzania katika ukuaji wake tasnia  imekuwa ikukua kila mwaka na kupata mabadiliko mbalimbali, ndani ya miaka 16 sasa baada ya kuingia katika utayarishaji wa filamu kibiashara kumekuwa na mafanikio na changamoto nyingi, makala ya uchambuzi wa Tasnia ya filamu kwa mwaka huu 2016. Historia ya tasnia ya filamu […]

Read More..

Pichaz: Walichokifanya WCB hapo jana Uwanja...

Post Image

Jana katika kusherekea sikukuu ya Christmas,timu nzima ya WCB na wasanii wake wakiongozwa , Diamond Platnumz, walioangusha show kubwa kwenye viwanja vya Samora mjini Iringa. Picha zinaonesha jamaa walivutia nyomi ya kutosha. Jione picha hapo chini.

Read More..

Solo Thang Asikitishwa na Hali ya Chid Benz

Post Image

Msanii mkobgwe wa rap hapa bongo, Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu. Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na […]

Read More..

Pichaz:Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Kris...

Post Image

    GPL  

Read More..

Pichaz: Walichokifanya Wasafi Hiyo Jana, Ja...

Post Image

Mkali wa bongo bongo fleva  Diamond akiwa na wasinii kutoka kwenye lebel yake ya WCB walifanya show kubwa iliyojulikana kwa jina la vodacom Wasafi Beach party iliyofanyika jana, Jangwani Seabreez. Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo  

Read More..

Aunty Ezekiel Azipondea Filamu Alizocheza Z...

Post Image

Mrembo aliyekuwa kimya kwa muda mrefu katika uga wa Bongo Movie mwanadada Aunty Ezekiel amerudi kwa kishindo na kazi mpya ambayo imemfanya aziponde kazi zake za zamani kutokana na ubora wake.   Aunty aliyekuwa kwenye kipindi cha FNL cha EATV amesema movie ambayo amekuja nayo sasa ni ya viwango vya hali ya juu, na ina utofauti […]

Read More..

Nay wa Mitego Amzawadia Gari Mama Yake

Post Image

Rapa Nay wa Mitego ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Sijiwezi’ ameamua kumnunulia mama yake mzazi gari katika siku yake ya kuzaliwa kama zawadi ili iwe inamsaidia mzazi wake huyo na mtoto wake wa kiume kwenda sokoni. Nay wa Mitego akiongea kwenye kipindi cha eNewz amedai mwezi uliopita ndiyo ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa […]

Read More..

Mambo 10 ya Kukumbukwa 2016

Post Image

ZIMEBAKI takribani siku saba kabla ya mwaka huu kufikia ukingoni na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017. Kwa hakika mwaka 2016 umekuwa wa matukio mbalimbali kwenye tasnia ya burudani Bongo. Kwa wiki tatu sasa mfululizo tumekuwa tukikuletea matukio tofautitofauti yaliyopata kutokea tangu kuanza kwa mwaka huu. Tayari tumeshaona mastaa waliofunga ndoa, ndoa zilizovunjika na mabifu yaliyotingisha. […]

Read More..

Muziki Umenipa Mafanikio Kuliko Filamu-Shil...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Shilole amefunguka na kusema kuwa mafanikio yake aliyopata kwenye muziki kama angeendelea kufanya filamu anaamini asingeweza kuyapata kabisa. Shilole anasema anashukuru Mungu aliweza kumshtua mapema ili akimbie kwenye filamu na kukimbilia kwenye muziki kwani huku kwenye muziki ndiko pesa zake zilikuwepo ambazo ndani ya muda mfupi amezipata na kufanya […]

Read More..

Harmonize Afunguka Haya Kuhusu Penzi Lake n...

Post Image

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amekanusha kuachana na mpenzi wake Jacqueline Wolper baada ya hivi karibuni kuzagaa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wameachana. Madai hayo yalichukua sura mpya wiki chache zilizopita baada ya malkia huyo wa filamu kudaiwa kufuta picha za mkali huo wa wimbo Bado katika mtandao wake wa instagram. […]

Read More..

Aunt Ezekiel Afunguka Sababu ya Kutamani Ku...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Aunt Ezekiel amedai kuwa anatamani tena ajifungue mtoto wa kike kwa mara ya pili kwani watoto wa kike kuwa nao ni pesa. Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live Aunt Ezekiel aliweka wazi kuwa watoto wa kike ni pesa ingawa hakutoa ufafanuzi ni pesa kwa namna gani lakini anasema anatamani ajifungue […]

Read More..

Meneja wa Diamond Afungukia collabo za Diam...

Post Image

Hivi karibuni wakati anahojiwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond alitease ujio wa ngoma ambazo amewashikirisha wanamuziki heavyweight wa Marekani, Rick Ross na Rihanna. Jumatano hii kupitia kipindi cha Campus Vibes cha Times FM, meneja wake, Sallam alifafanua zaidi kuhusu hatua iliyofikiwa ya collabo hizo. Sallam alidai kuwa collabo na Rick Ross imeshakalimika, […]

Read More..

Mwanaume Ukiwa na Sifa Hizi, Utampata Mwasi...

Post Image

Mwanamuziki Mwasiti ambaye anafanya vizuri na wimbo wake ‘Kaa nao’ amefunguka na kuweka hadharani sifa za mwanaume ambaye anahitaji kuwa naye katika maisha yake na kusema haiwezekani hata siku moja mtu na mpenzi wake wakawasiliana mara moja kwa siku. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Mwasiti amesema kuwa angependa mume wake kwanza […]

Read More..