-->

Daily Archives: June 14, 2016

Rubby na Dogo Aslay Wafunguka Kuhusu Mahusi...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo Ruby ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa kundi la Yamoto Band amefunguka na kusema yeye na Aslay si wapenzi kama ambavyo watu wanasema bali anadai hiyo ilikuwa ni njia kutangaza kazi yao mpya ambayo Rubby ameshiriki. Kupitia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Rubby alidai ilibidi watafute kiki […]

Read More..

Abdul Kiba Atolea Ufafanuzi Kuhusu Kujiunga...

Post Image

Staa wa Bongo Fleva, Abdul Kiba  ametolea ufafanuzi kuhusu taarifa iliyosambaa mitandaoni kujiunga na WCB WASAFI ambayo inamilikiwa na Diamond Platnumz. Akiaongea na cloudsfm.com Abdul Kiba ambae ni mdogowake na msanii Abdul Kiba alieleza. ‘’Ni kweli nilizungumza hiyo lakini wengi wao waliitafsiri vibaya kauli yangu kwasababu ukizungumzia mtonyo nilimaanisha kwamba nina uwezo wa kufanya nao […]

Read More..

Beka Atoa Sababu ya Kurudia ‘Aje̵...

Post Image

Akiongea kwenye PlanetBongo ya East Africa Radio, mkali wa R&B, Beka amesema suala hilo ni jambo ambalo haliwezekani kwani yeye tayari yupo kwenye uongozi, ambao unamsimamia kazi zake. “Suala la kuwa tayari kusainishwa na Alikiba haiwezekani kwa sababu mi nipo kwenye management ambayo nina mkataba nayo, management ambayo imeninulia vifaa vya bendi, na sasa hivi […]

Read More..

Rammy Apata ‘Shavu’ Hili Ghana

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Rammy Galis ‘Pacha wa Kanumba’ amezidi kula mashavu katika Tasnia ya Filamu Ghana na hivi karibuni anatarajiwa kudandia pipa kuelekea nchini humo kwa ajili ya kugonga filamu nyingine na dairekta maarufu nchini humo anayejulikana Afrika nzima. Akichonga na gazeti hili Rammy Galis alisema filamu alizofanya na wasanii kutoka Ghana na Nigeria […]

Read More..

Steve Nyerere Awapongeza Harmonize na Iyobo...

Post Image

Kiongozi wa zamani wa Bongo Movie Unit,  Steve Nyerere amempongeza msanii wa muziki, Harmonize pamoja na dancer wa Diamond, Mosei Iyobo kwa kuwapa utulivu wasanii wenzake wa filamu Aunt Ezekiel na Jacqueline wolper. Muigizaji huyo ambaye alikuwa MC katika iftar ya GSM iliyofanyika Kigamboni weekend hii na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali, alisema anawashukuru wasanii hao […]

Read More..

Quick Rocka: Siteseki na Penzi la Kajala

Post Image

MSANII anayekimbiza katika Tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Quick Rocka amedai kuwa penzi la muuza sura kwenye Filamu za Kibongo, Kajala Masanja halimtesi maana ni la kishkaji na kila mmoja kati yao ana uhuru wa kufanya mambo yake binafsi kutokana na matakwa yake bila kumbana mwenziye. Akipiga stori na safu hii ya burudani Quick […]

Read More..

Linah Akanusha Kutoka Kimapenzi na Billnas

Post Image

Msanii wa bongo fleva Linah Sanga ambaye siku za karibuni amekiri wazi kuwa mapenzi yamemuathiri katika kazi yake ya sanaa na kufanya watu kufuatilia zaidi maisha yake ya mahusiano kuliko kazi zake amefunguka na kuweka sawa kuwa hatoki kimapenzi na msanii Billnas. Kupitia kipindi cha eNEWS tulitaka kufahamu ukaribu uliopo kati ya Linah Sanga na Billnas […]

Read More..