-->

Daily Archives: June 20, 2016

Neema Ndepanya Ametoa Zawadi kwa Watoto Yat...

Post Image

Mcheza filamu za kitanzania Neema Ndepanya ametembelea kituo cha watoto yatima Hiyali orphan center kilichopo changombe Sigara Dar es salaam na kuwapa zawadi ya vitu mbalimbali ikiwemo unga wa ngano pamoja na mafuta. Neema amefanya hayo kama shukrani ya filamu yake ya Kobe la mchana kuingia sokoni ikisambazwa na kampuni ya steps entertainment iko nchi […]

Read More..

Mambo ya Kufahamu Baada ya Kadi za UDART Ku...

Post Image

Abiria wa mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es salaam leo June 20 2016 wameanza kutumia kadi maalumu za kielektroniki badala ya tiketi. Mfumo huu ambao utamuwezesha abiria kuweka fedha katika kadi hio kwa kutumia mitandao ya simu na utasaidia kupunguza msongamao katika vituo vya ukataji tiketi. HAYA NI MAMBO MATANO YA KUFAHAMU 1.Unapokwenda kununua kadi […]

Read More..

Hemed Adai ‘Kuwachapa’ Mastaa Wengi

Post Image

Msanii wa filamu Hemed Suleiman amefunguka kwa kusema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na wasanii wa filamu lakini wengi amewachapa. Mwigizaji huyo ni miongoni mwa wasanii wa filamu mwenye mvuto kutoka na kujiremba kwake pamoja uvaaji. Akiongea na Times Fm hivi karibuni, Hemed aliulizwa kuhusu kutoka kimapenzi na wasanii wa filamu. “Ngoja niseme hili sijawahi kuwa […]

Read More..

Diamond Kuachia Hii Akiwa na P Square

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametupia picha hiyo hapo chini kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na kundi la P Square pamoja na uongozi wake,  wakiangalia kazi hiyo kama kufanya mapitio na kuandika kuwa anasikia harufu ya hit song. Diamond Platnumz ingawa hajaweka wazi lini kazi hiyo inatoka lakini kuna kila dalili kuwa kazi […]

Read More..

UKAWA Watoka Bungeni Wakiziba Midomo na Kar...

Post Image

Wabunge wa Upinzani wameendelea kususia vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, huku leo wakitoka bungeni kwa mtindo mpya wa kuziba midomo na karatasi. Hii ni wiki ya tatu mfululizo wabunge wa Ukawa wamekuwa wakitoka bungeni baada ya kutangaza kuwa hawatahudhuria vikao vyote vinavyoongozwa na Dk Tulia, kufuatia kukataa hoja ya kujadili sakata la […]

Read More..

Mwasiti Afunguka Kuhusu Kutoka Sam Misago

Post Image

Mkongwe wa bongo flava Mwanadada Mwasiti amefunguka na kusema kwamba wimbo wake mpya wa Utabaki unaniangalia hauhusiani kabisa na maisha yake ya kimahusano na amesema huo ni wimbo kama nyimbo nyingine na kwamba yeye haimbi kwa kumlenga mtu. Hata hivyo Mwasiti ameiambia Enews kwamba hana mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji maarufu hapa nchini Sam Misago […]

Read More..

Uwoya, Kajala Waingia Vitani

Post Image

Ubuyu mzito! Mastaa wakubwa kunako Bongo Muvi, Irene Pancras Uwoya ‘mama Krish’ na Kajala Masanja ‘Kay’ wanadaiwa kuingia vitani, kisa mapenzi ya wasanii wa Bongo Fleva, Msami Giovani na Abbott Charles ‘Quick Racka’ Wikienda limeng’atwa sikio. Chanzo kilicho karibu na wawili hao kilipenyeza ishu kuwa aliyeanza yote ni Uwoya baada ya kumchukua mpenzi wa Kajala […]

Read More..

Sitoacha Kuigiza Sababu ya Gospel – Senat...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu kutoka Swahilihood Stanley Msungu ‘Senator Msungu’ amefunguka kwa kusema kuwa kufuatia yeye kuimba na kuokoka hawezi kuacha uigizaji bali kila jambo atalipa nafasi yake kwa wakati. “Nafanya Gospel kama sehemu ya aina yake ya uhubiri, nimetoa wimbo unaitwa Nimerudi na nitaendelea na uigizaji pia kwani ni vipawa vyote kutoka kwa Mungu,”anasema Msungu. […]

Read More..