Young D:Nimemrudia Mungu Sasa
Msanii Young D ambaye siku za karibuni ameweza kuachana na matumizi ya dawa za kulevya amefunguka na kusema kwa sasa ameamua kumrudia Mungu ili kujijenga na kuzidi kujiimarisha zaidi kiimani ili asiweze kurudi gizani alikotoka. Young D amesema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Young D anadai kuwa alikuwa anapigana […]
Read More..





