-->

Daily Archives: August 28, 2016

Dogo Janja: Nakua na Mziki Wangu

Post Image

Msanii Dogo Janja ametoa sababu inayomfanya azidi kuwa bora kwenye kazi zake, kadri siku zinavyokwenda, tofauti na wasanii wengi ambao wakitoa hit song, hushindwa kuendelea nazo. Akizungumza kwenye FNL ya East Africa Television na East Africa Radio, Dogo Janja amesema kwa sasa yeye anakua kiumri, hivyo hata uwezo wa kuandika mashairi yake unakua. “Mimi ninakua […]

Read More..

Mwanamitindo Flaviana Matata Aiburuza Mahak...

Post Image

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umeshtakiwa mahakamani ukitakiwa kumlipa mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi za mitindo nchini Marekani, Flaviana Matata, Sh milioni 165. Mfuko huo umeshtakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kukiuka mkataba wa mwanamitindo huyo anayewakilishwa na Wakili Edward Lisso wa Law Associates Advocates. Mfuko huo unadaiwa kukiuka mkataba walioingia Januari, mwaka […]

Read More..

Lulu Diva Alilia Uolewa

Post Image

MUUZA sura kwenye video za Kibongo ambaye pia ni muigizaji, Lulu Abbasi ‘Lulu Diva’ amenyetisha kuwa kutokana na changamoto za kimaisha anazokutana nazo anatamani kuwekwa ndani muda wowote kama mke jambo ambalo anafikiria linaweza kumsaidia kwa kiasi fulani kimaisha kwa sababu atakuwa anaambulia angalau hata pesa ya meza. AKipiga stori na BBM, Lulu ambaye hivi […]

Read More..

Roma Afunguka Kuhusu Professor Jay na Hip ...

Post Image

Muziki wa Singeli unaonekana kuwaumizwa kichwa wasanii wengi wa Hip Hop hasa baada ya Professor Jay kuachia wimbo wake mpya ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha Sholo Mwamba na kuamua kuuita style hiyo jina la Hip Hop Singeli. Akiongea na kipindi cha E News cha East Africa TV, Roma Mkatoliki amemtetea Jay kwa kusema kuwa muziki wote umeshafanya […]

Read More..

Lowassa, Rasi Magufuli Wakutana Jubilei ya ...

Post Image

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa jana tarehe 27 Agosti, 2016 ameadhimisha Jubilei ya Dhahabu ya Miaka 50 ya Ndoa yake na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam.   Hafla ya Jubilei hiyo imefanyika nyakati za mchana katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa uliopo […]

Read More..