-->

Daily Archives: August 30, 2016

Masanja:Nimeoa Kuhamasisha Vijana Wasiogope

Post Image

Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ aliyefunga ndoa hivi karibuni na kuzua tafrani kwa wasanii wenzake kutiwa hatiani kwa kutumia sare za askari siku ya harusi yake na mkewe Monica Masatu amefunguka kwa kusema kuwa amefungua njia kwa vijana wengi wenye uwezo kimaisha lakini hawataki kuoa. “Unakuta kijana yupo safi kimaisha lakini hataki kuoa hela anayo kila […]

Read More..

King Crazy GK Aukacha Rap, Akijita Kuimba

Post Image

Rapa kutoka kundi la East Coast, King Crazy GK ameamua kuingia Studio kwa Alonem ambapo amebadili maudhui ya uimbaji wake kutoka kurap na kufanya muziki wa kuimba huku video akiifanya na muongozaji Donald kutoka Uganda. Akipiga story ndani ya eNewz, GK amesema kuwa ushindani uliopo kwenye game la muziki tofauti na zamani ikiwa ushindani ulikuwa […]

Read More..

Lowassa Atoa Waraka Kuhusu Kukamatwa Kwake

Post Image

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametoa waraka akisema kitendo cha askari wa Jeshi la Polisi kuwakamata wakati wakiwa kwenye kikao cha ndani cha Chadema jana  kimemuimarisha na kumpa nguvu zaidi ya kudai demokrasia. Katika waraka wake kwa vyombo vya habari leo, Lowassa amesema anafurahishwa na kutiwa moyo na jinsi Watanzania walivyoipokea operesheni yao ya […]

Read More..

Wema Sepetu: Sirudi Tena Dar

Post Image

Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai mwenyewe. Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha ameonyeshwa kuvutiwa na jiji la Arusha na kuamua kuwarusha roho mashabiki wake kwa kuwaambia kwamba hatarudi tena Dar es salaam. “My shouger nikimpenda hovyooo, kweli watu […]

Read More..

Nisha Afunguka Kuacha Skendo za Aina Hii

Post Image

Muigizaji wa vichekesho kwenye tasnia ya filamu nchini, Salma Jabu a.k.a Nisha Bebee amesherehekea siku yake ya kuzaliwa tarehe 28 kwa kuamua kutembelea Hospital ya Ocean Road kuwaona wagonjwa waliolazwa katika hospital hiyo. eNewz ambayo ilifanikiwa kufika eneo la tukio ilimkuta Nisha ambaye alisema maisha yake kwa sasa ameamu kuyaelekeza kwa kusaidia watu na siyo […]

Read More..