Afande sele Adai Kuwa na Wanawake Kama Sita...
Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yupo yupo sana ingawa anakiri wazi kuwa yupo na mahusiano na wanawake kama sita hivi ambao wanamsaidia kumtunzia watoto wake huku akiangalia kati yawatu hao alionao yupi anastahili kuwa malkia. Afande Sele alisema hayo […]
Read More..





