-->

Spicy ‘Rasta’ Atoboa Sababu ya ...

Post Image

Mwanamuziki Spicy kutoka Nigeria ambaye pia ni mpenzi mpya wa Lady Jaydee, leo ametoa sababu za wawili hao kutokuwa na pete licha ya kuonekana wakiwa katika mazingira walioyaita ‘honeymoon’. kizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Spicy amesema kwa sasa anasubiri hatua za uchumba na ndoa zikamilike, kisha ndipo suala la pete litafuata. […]

Read More..

Saida Karoli: Kuhusu Wimbo wa Salome, Siuju...

Post Image

BAADA ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuachia ngoma ya Salome ambayo ndani yake ametumia melodies na vionjo vilivyomo kwenye wimbo wa mwanadada aliyetamba na kujichukulia heshima kubwa kwenye muziki wa asili hapa nchini, Saida Karoli, taarifa zilianza kuzagaa mitandaoni na kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuwa Mbongo Fleva huyo ameiba wimbo wa […]

Read More..

Chuchu Afungukia Kuficha Ujauzito Wake

Post Image

Msanii wa filamu za bongo Chuchu Hansy amezungumzia sababu ya ujauzito wake na kusema kuwa hajataka kuweka hadharani kwani ni kitu binafsi.   Akizungumza na East Africa Television, Chuchu Hansy amesema taarifa za yeye kuwa na ujauzito ameamua kufanya siri kwani anaona si vyema kuzungumzia vitu binafsi hadharani hususani kwenye mitandao, na kwamba muda muafaka […]

Read More..

Matano (5) Muhimu Kuyajua Kutoka kwa Vaness...

Post Image

UKITAJA listi ya wasanii wakubwa wa kike wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, jina la Vanessa Mdee maarufu V Money, haliwezi kukosekana kutokana na juhudi zake za kuhakikisha muziki wake unapasua anga. Vanessa hivi sasa anatamba kimataifa, akifanya shoo za nje ya nchi lakini pia akishiriki kwenye tuzo mbalimbali za kimataifa. Diva huyu anayetamba […]

Read More..

Mwaka wa Tabu kwa Wasanii

Post Image

Wakati tunaingia mwaka 2016 wasanii walikuwa na matarajio makubwa ya kufanikiwa katika shughuli zao za sanaa kama ilivyokuwa kwa miaka iliyopita, lakini mpaka sasa wengi wanalia kutokana na hali halisi iliyopo kwa sasa katika soko la burudani nchini. Watanzania wamelazimika kupunguza starehe na mahitaji yasiyo ya lazima na kugeukia majukumu mengine ya kifamilia, ikiwamo chakula, […]

Read More..

Salome ya Diamond Ilivyobadili mipango ya D...

Post Image

Hit maker wa wimbo Muziki, Darassa amedai hapo awali alikuwa ana mpango wa kumshirikisha Saida Karoli kwenye wimbo wake ‘Muziki’ lakini baada kuona Diamond ametoa wimbo ‘Salome’ ambao ndani yake amemtumia Saida Karoli akaamua kuusitisha mpango huo. Rapa huyo amedai wazo la kumtaka kumshirikisha muimbaji huyo wa muziki wa asili wa zamani lilitokana na mdundo […]

Read More..

Wasanii Bongo Movie Wana Mgando wa Mawazo &...

Post Image

Meneja wa muigizaji bora wa kike Afrika Mashariki Chuchu Hansy amesema wasanii wengi wa Tanzania wana mgando wa mawazo na ndiyo maana wanashindwa kufikiria mbinu mpya za kufanya kazi zao, na kubaki na movie zenye part (sehemu) kibao. Meneja huyo alitoa kauli hiyo baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya Chuchu Hansy kwenye Tuzo za […]

Read More..

Jide Akiri Kutoka Kimapenzi na Mnigeria Spi...

Post Image

HATIMAYE staa wa muda wote katika muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ a.k.a Jide leo amekiri bila kupepesa maneno kuwa yupo katika penzi zito na mwanamuziki mwenzake raia wa Nigeria aitwaye Chris maarufu kama Spicy a.k.a Rasta. Jide ameyafunguka hayo wakati akifanya Exclusive Interview na Global TV Online kwenye studio zake zilizopo ndani ya […]

Read More..

Gabo Ajifananisha na Trump

Post Image

Muingizaji wa Bongo Movie Gabo ambaye alishinda tuzo mbili usiku wa EATV AWARD ikiwemo tuzo ya muingizaji bora wa kiume na filamu bora ya mwaka amesema anajiona kama Donald Trump baada ya kushinda tuzo hizo.   Akipiga story ndani ya eNewz, Gabo amesema anaamini kwa sasa ni wakati wake na matumizi sahihi ya akili ndo yanaweza kukupeleka popote unapotaka […]

Read More..

Alikiba Sina Tatizo na Dully Sykes

Post Image

Mkali wa wimbo Aje Alikiba baada ya kuondoka na tuzo tatu za EATV, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na msanii mkongwe wa muziki na producer, Dully Sykes. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuenea kwa taarifa za muda mrefu katika mitandao ya kijamii kwamba wawili hao hawaelewani. Katika usiku wa tuzo za EATV, Dully ndiye aliyemtangaza […]

Read More..

Baraka The Prince Amsajili Lord Eyes

Post Image

Msanii Baraka The Prince ametangaza rasmi kuanzisha label yake na kutaja wasanii wakubwa wawili ambao wapo chini ya label yake hiyo. Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio Baraka The Prince amesema kuwa rasmi rapa Lord Eyes amesaini chini ya label yake inayofahamika kama ‘BANA’  na kusema ameamua kumchukua Lord Eyes kutokana […]

Read More..

Kajala Afunguka Haya Kuhusu Yeye na Petit M...

Post Image

Hapo zamani za kale, Kajala Masanja na Petit Man walikuwa wapenzi. Infact, wakati Kajala yupo jela, Petit alikuwa kama malaika wake aliyetumwa na Mungu kwakuwa alimhudumia kwa kiasi kikubwa. Lakini baadaye kila mmoja aliendelea na maisha yake ikiwemo Petit kumuoa dada yake Diamond, Esma. Lakini siku za hivi karibuni, wawili hao wameonekana kuwa karibu tena […]

Read More..

Duma Awapongeza Gabo na Chuchu Hansy kwa Ku...

Post Image

Muigizaji wa filamu wa kiume Daudi Michael au Duma amempongeza muigizaji mwenzake Gabo Zigamba ambaye alikuwa naye kwenye kinyang’anyiro kimoja, na kuibuka na ushindi wa muigizaji bora wa kiume EATV AWARDS, huku akijipanga kupambana zaidi. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Duma ameyaandika haya kuhusu ushindi wa Gabo Zigamba. Pia Duma alitumia fursa hiyo kumpongeza muigizaji […]

Read More..

Ndoa 14 za Mastaa Bongo Mwaka Huu

Post Image

2016 mwaka wa ndoa. Ndivyo ninavyoweza kusema kutokana kuwa mwaka huu wa baraka tele miongoni mwa wasanii wengi nchini kufunga ndoa tufauti na miaka mingine iliyopita. Naweza kusema kuwa wasanii wengi walikuwa wanawoga wa kuingina kwenye ndoa na hata wengi kutunga nyingi kwamba suala hilo bado kama ‘Bado nipo kwanza’ wa Mwana Fa na ‘Nakula […]

Read More..

Afande Sele: Darassa Kawafunga Mdomo Walios...

Post Image

Afande Sele katupa jiwe gizani ama kalitupa kwa hasimu wake Madee? Vyovyote vile, Mfalme huyo wa Rhymes amempongeza rapper Darassa kwa kumuelezea kama mtu aliyekuja kuwafunga mdomo watu waliowahi kudai kuwa hip hop imekuja – au kama ambavyo Madee aliwahi kusema ‘hip hop haiuzi.’ Kauli yake inakaribisha mjadala mwingine mrefu na ambao ni ngumu kupata […]

Read More..

Q Chilla:Starehe, Madawa ya Kulevya Yamenip...

Post Image

KIRAKA wa muziki wa Bongo Fleva  Abubakary Katwila ‘Q chief’ ambaye aliwika sana  mwanzoni mwa miaka ya 2000 akiwa na kibao chake cha ‘Ulinizaa wewe’ ambacho kilivuta sana hisia za wababa wengi ambao wanatabia ya kukataa watoto wao. Wimbo huo ulikuwa kama wimbo wa Taifa awe mkubwa mtoto lazima auimbe ulifanikiwa kumbamba vituo mbalimbali vya […]

Read More..

Tunahitaji Ukombozi Kisanaa- Mwenyekiti wa...

Post Image

WENYEKITI wa Chama cha Wanawake wa Tasnia ya Filamu Tanzania (CWTF) Vanitha Omary amesema kuwa baada ya kuwa kwenye tasnia kwa muda mrefu wamekaa na kutafakari na kuamua kuanzisha chama kinachoshirikisha wasanii wa kike katika kuleta maendeleo na ukombozi kisanaa. “Sisi kama wasanii wa wanawake jamii inatutegemea katika mambo mengi hivyo lazima tuwe na umoja […]

Read More..

Orodha ya Washindi wa EATV AWARDS 2016

Post Image

Historia imeandikwa kwenye tasnia ya sanaa nchini ambapo kwa mara ya kwanza tukio la utoaji wa tuzo za #EATVAwards kwa wasanii wa muziki na filamu Afrika Mashariki, limefanyika usiku wa jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Tuzo hizo zilizoandaliwa na East Africa Television Ltd, zimekuwa za kwanza Afrika Mashariki, ambapo wasanii […]

Read More..