-->

Monthly Archives: September 2016

Hizi Ndizo Filamu Zinazotamba Kwenye Tasnia...

Post Image

Hizi ni kati ya filamu zinazoendelea kusumbua katikati tasnia ya filamu, ubora wa Filamu hizi unasababisha zigombaniwe Sokoni. Kama utapenda filamu za kitanzania embu hakikisha hizi ni kati ya filamu zinazotakiwa kuwa kwenye maktaba yako. Pata nakala halisi zinapatikana katika matawi ya kampuni ya Steps entertainment limited.  

Read More..

Mimi Nina Majumba sio Nyumba-Steve Nyerere

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere amedai yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wanamiliki nyumba nyingi lakini hataki kuzionyesha. Akiongea katika kipindi cha Uhondo cha EFM Jumatano hii, Steve Nyerere amedai yeye haoni ufahari wa kuonyesha mali alizonazo kama wanavyofanya baadhi baadhi ya wasanii. “Mimi nina majumba sio nyumba ila sitaki kuonyesha instagram,” alisema […]

Read More..

Birthday ya Jux: Ujumbe wa Vanessa Mdee wa ...

Post Image

Staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ametumia fursa ya siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake, ambaye pia ni Staa wa muziki wa R&B hapa Bongo, Juma Jux kumwandikia ujumbe muhimu kudhihirisha ni kwa kiasi gani anampenda huku akiutaja wimbo wao wa pamoja, #Wivu kuwa ndiyo nguzo ya kukutana na kuanzisha uhusiano wao: Kuoitia […]

Read More..

Kanumba Hajaondoka na Tasnia Japo Imeshuka ...

Post Image

Muigizaji na muongozaji wa filamu nchini Tanzania, Jacob Stephen maarufu kama JB amesema kushuka kwa filamu za nchini (Bongo Movie) hakuhusishwi na kifo cha aliyekuwa muigizaji nguli marehemu Steven Kanumba. Alipofanyiwa mahojiano na eNewz, JB amekiri kuwa tasnia ya filamu nchini imeshuka kiwango lakini akakazia kuwa kushuka huko ni kwa msimu pekee. “Ni kweli tasnia […]

Read More..