-->

Daily Archives: October 4, 2016

Nataka Kuoa Siku za Karibuni – Dogo Janja

Post Image

Rapa Dogo Janja ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Kidebe’ amefunguka na kutangaza rasmi kuwa ana mpango wa kutaka kuoa na kusema kwamba muda si mrefu anaweza kuvuta jiko na kuweka ndani. Dogo Janja alisema haya kupitia kipindi cha Planet Bongo ambacho kilikuwa kinarushwa moja kwa moja kutokea Manzese na kusema kuwa suala […]

Read More..

Hakuna Msanii Bongo Mwenye Vigezo vya Mwana...

Post Image

Kwa mujibu wa Shilole, hakuna msanii Bongo aliye na vigezo vya mwanaume anayemhitaji kwa sasa. “Hakuna hata mmoja,” Shilole alimjibu mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove aliyemuuliza kama kuna msanii wa Bongo kwenye vigezo anavyovitaka. Awali alitaja vigezo hivyo kuwa ni, “Upate mtu ambaye anakupenda kwa dhati, mchapakazi, ambaye anajua kwamba maisha ni nini,” alisema […]

Read More..

Afande Sele Awapa Makavu Viongozi wa ACT-Wa...

Post Image

Mwanamuziki Afande Sele ambaye alikuwa mgombea nafasi ya ubunge katika uchaguzi uliopita kwa tiketi ya ACT Wazalendo amefunguka na kuwachana baadhi ya viongozi wa chama hicho kutokana na viongozi hao kukosa msimamo thabiti katika baadhi ya mambo. Afande Sele ametumia ukurasa wake wa Facebook kufikisha ujumbe wake kwa watanzania huku akisema anashindwa kuwaelewa viongozi wake […]

Read More..

Mzee wa Upako Ataja Siri ya Mafanikio Yake

Post Image

Safari hii safu hii imeangukia kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo Kibangu jijini Dar, Lusekelo Antony (wengi wamezoea kumuita Antony Lusekelo) ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kwa kuhubiri neno la Mungu kiasi cha kumfanya kiongozi wa nchi, Rais Dk. John Magufuli kwenda kwenye ibada na kukiri kwamba mchungaji huyo anajua […]

Read More..

Wastara Arudiana na Mpenzi Wake wa Zamani B...

Post Image

Malkia wa filamu Wastara Juma baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma, amerudiana na mpenzi wake wa zamani, Bond Bin Sinan. Mwigizaji huyo amesema Bond Bin Sinan alikiri makosa yake kwenye vyombo vya […]

Read More..