-->

Daily Archives: October 26, 2016

Wema Sepetu na Aunty Ezekiel Wapo Vizuri

Post Image

Tofauti na kile ambacho baadhi ya mashabiki wa mastaa hao kudhani kuwa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel hawaelewani kwa sasa, Wema Sepetu  ameonyesha wazi kuwa yeye na Aunt wapo vizuri baada ya kubandika picha  hiyo hapo juu ya Aunt Ezekiel akiwa na mtoto wake Cookie kwenye ukurasa wake wa instagram ma kuandika. “My Picture of the […]

Read More..

Mimi Siyo Marioo – Abubakari Mzuri

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Abukakari Mzuri ambaye aliwahi kutamba na wimbo kama ‘Samahani’ amefunguka na kusema kuwa yeye siyo Marioo kama ambavyo watu wamekuwa wakisema kuwa analelewa na mwanamke au ameolewa na mwanamke. Ababukari Mzuri alisema hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha eNewz cha EATV na kusema kuwa yeye hajaolewa wala halelewi na mwanamke […]

Read More..

Bifu: Filamu Aliyocheza Fid Q Ambayo Hataki...

Post Image

Kabla ya kupata tobo na kuwa mmoja wa wana hip hop wanaoheshimika zaidi Tanzania, Fid Q aliwahi kufanya mishe mishe mingi ikiwemo kuwa muigizaji wa ‘bongo movie.’ Yeye na Sugu waliigiza filamu ya maisha ya muziki iitwayo Bifu. Kutokana na kuwa na kiwango cha chini, Fid Q hataki uione filamu hiyo kwakuwa anahisi kwa alipofika […]

Read More..

Hizi Team Kiba, Diamond ni Sumu

Post Image

KAMA una simu inayoweza kufungua mitandao ya kijamii, basi ukizubaa utakuwa na bahati ya kushuhudia madudu tu na simu hiyo haitakuwa na faida kwako hata kidogo. Mitandaoni kuna mambo mengi sana yanaendelea na hayana maana hata kidogo ingawa wanayoyaendeleza huamini wana uwezo mkubwa wa kuzungumza mambo na wanachosema ni sahihi hasa. Kwenye Facebook, Instagram na […]

Read More..

Kingwendu Aomba ‘Promo’ Kama ya...

Post Image

Msanii wa vichekesho nchini Kingwendu amesema mambo ya siasa yalimsababisha kupunguza kazi zake za sanaa kwa kuwa alikuwa katika kujipigia kampeni za kugombea ubunge. Pia Kingwendu amesema kama angefanikiwa kupata ubunge angeweka mambo ya sanaa pembeni kidogo kwa kuwa siasa ina mambo mengi na inabidi ujipe muda wa kutosha ili kuweza kukamilisha majukumu yako vizuri. […]

Read More..