-->

Daily Archives: October 5, 2016

Goodluck Gozbert Afunguka Kuhusu Mahusiano ...

Post Image

Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa nchini, Goodluck Gozbert akanusha kuonekana akijivinjari na mwanamke yeyote kwa sasa na kusema muda ukifika wa yeye kuwa kwenye mahusiano basi atakuwa.   Akiongea na eNewz, Gozbert alijibu hayo baada ya kuulizwa kuhusiana na uvumi wa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amekuwa akionekana na mwanamke wakijiachia naye na kudaiwa […]

Read More..

Mtangazaji Paul James ‘PJ’ Arudi Clouds...

Post Image

Paul James ‘PJ’ amerejea tena Clouds FM akitokea EFM. Anakuwa mtangazaji wa pili wa EFM kuchukuliwa na Clouds katika kipindi cha mwezi mmoja, baada ya Kicheko. PJ aliyeondoka Clouds mwanzoni mwa mwaka huu akiwa na Gerald Hando, ametambulishwa rasmi Jumatano hii. Anamfuata mtangazaji mwingine aliyehama Clouds akaenda EFM na kisha kurejea tena kwenye kituo hicho, […]

Read More..

Mboto Amuombea Msamaha Tunda Man kwa Hili

Post Image

Mchekeshaji nguli wa bongo movie Mboto Haji amemuombea msamaha msanii wa bongo Fleva Tunda Man kwa kauli yake ya kudanganya mashabiki zake Kauli hiyo ilidai kuwa wapo kambini wakiandaa filamu itakayo kuja kwa jina la Mama Kijacho kama ilivyo wimbo wa mama kijacho ambapo video yake imemuonyesha Mboto na Riyama Ally. Baada ya Tunda Man […]

Read More..

Chura wa Snura Afunguliwa, Video Mpya Kuach...

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemruhusu msanii wa muziki, Snura Anthony Mushi ‘Snura’ kuachia video yake mpya ya wimbo ‘Chura’ baada ya msanii huyo kufanya marekebisho ya video ya wimbo huo na kukubaliwa na wizara. Aidha, katika barua ya wizara imemtaka Snura kuomba radhi mbele ya waandishi wa habari ili video […]

Read More..

Kuishi na Majirani Vyema ni Funzo Kwangu &#...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Daudi Michael ‘Duma’, amefunguka na kusema kuwa kuishi na watu vizuri kumemfunza na kumfanya aone kuwa na umuhimu huo baada ya majirani na marafiki zake kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mtaani kwake Mwananyamala, Dar es Salaam. Akizungumza na eNewz mwishoni mwa juma lililopita, Duma, alisema amefurahishwa na kitendo cha marafiki na […]

Read More..