-->

Daily Archives: October 9, 2016

Mama Diamond Akimtambua Vizuri Mwanaye Atam...

Post Image

MWAKA 2009 Diamond Plutnumz akiwa ndiyo kwanza ameingia katika ulimwengu wa umaarufu, alihojiwa na jarida fulani maarufu ambalo kwa sasa halitoki tena juu ya matarajio yake katika muziki na maisha. Japo kwa nyakati zile wengi huenda hawakumuelewa, ila Diamond alisema kuwa, dhamira yake ya kwanza anataka kuwa mwanamuziki maarufu sana Afrika halafu awe mwanamuziki tajiri. […]

Read More..

Kisa Riyama, Mwanaheri Achaniwa Nguo!

Post Image

Msanii wa filamu anayekuja kwa kasi Bongo, Mwanaheri Ahmed hivi karibuni alikumbwa na dhahama alipokatiza Mtaa wa Kongo, Kariakoo jijini Dar baada ya kuchaniwa dera lake kisa kufananishwa na muigizaji mwenzake, Riyama Ally. Akizungumza na Amani Mwanaheri alisema kuwa, amekuwa akikutana na sintofahamu kubwa njiani baada ya watu wengi kumfananisha na Riyama hata kabla ya […]

Read More..

Navy Kenzo waeleza jinsi ratiba ya AliKiba ...

Post Image

Wasanii wa Kundi la Navy Kenzo ameshindwa kuachia kwa wakati kolabo yao na AliKiba kutokana na mkali huyo wa wimbo ‘Aje’ kuwa busy hali ambayo imewafanya washindwe kumpata kwa ajili ya kushoot video. Wakizungumza katika kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi hii, wasanii hao wamesema zaidi ya mara mbili walipanga kushoot video hiyo […]

Read More..

Matonya: Sibahatishi Kwenye Muziki

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Matonya amesema kuwa yeye kwenye muziki habahatishi anajua nini anafanya na kwamba sasa amepunguza kufanya show za nje ili kijipa nafasi ya kuandaa kazi zake mpya pamoja na video mbalimbali ambazo zitaanza kutoka muda si mrefu. Matonya amesema haya kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio ambayo ilikuwa ikiruka […]

Read More..

KR Muller Kumtafuta Juma Nature Ili Kumaliz...

Post Image

KR Muller ambaye kwa sasa ni member wa Rada Entertainment anajipanga kumtafuta kiongozi wa TMK Wanaume Halisi, Juma Nature ili kumaliza tofauti zao. Juma Nature amekuwa akimtuhumu KR kuaribikiwa baada ya kuhama TMK na kuhamia Rada Entertainment ya TID. Akiongea na Bongo5 wiki, KR amesema anajipanga kumtafuta Juma Nature ili kuzungumzia yaliyotokea. “Kusema kweli haya […]

Read More..