-->

Daily Archives: October 22, 2016

Mastaa wa Kike Kutoka Familia za Mboga Saba

Post Image

NAIJUA familia ya mboga saba? Wengine wanapenda kuwaita watoto wa kishua ama familia bora. Hii ikiwawakilisha watoto wanaozaliwa kwenye familia yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi, kiasi cha kutumia mlo mmoja ukiwa na mboga tofauti na zinazobadilishwa kila uchao. Ndio, kuna familia nyingine bhana mlo unakuwa na mboga moja na huwa ni hiyo hiyo deile mpaka […]

Read More..

Msami Amtolea Povu Barakah The Prince Kuhus...

Post Image

Msanii wa muziki na mwalimu wa dance, Msami Giovani anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Step by Step’ amesema Barakah The Prince bado hana nguvu ya kuwa mume wala kuwa mchumba wa Najma. Ametoa kauli hiyo baada ya Barakah kumtukana Msami baada ya kukoment katika akaunti ya Instagram ya Naj. Akiongea na E-News ya EATV, Msami […]

Read More..

Dogo Janja Afungukia Kuoa

Post Image

SIKU chache baada ya Mbongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ kufunga ndoa, mwanamuziki mwenzake, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ (pichani juu) ameibuka na kumpongeza huku akieleza kuwa naye yupo mbioni kufuata nyayo zake. Dogo Janja amefunguka kuwa Tunda Man ameushinda ujana, kitendo kinachomfanya yeye kutamani kufikia hatua hiyo, endapo mambo yataenda vyema, Februari mwakani itakuwa zamu […]

Read More..

Rose Ndauka: Filamu Bongo Hazijashuka

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka amedai kuwa ni upepo mchafu umepitia soko la filamu nchini na si kama ni kweli filamu zimeshuka thamani kama watu wanavyodai. Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa baadhi ya wasanii wanazidi kujitahidi kufanya vizuri lakini kilichopo kwa sasa ni upepo mchafu umepitia tu. “Huu ni upepo mchafu umepita lakini wasanii […]

Read More..