-->

Daily Archives: October 12, 2016

Meneja wa Diamond Aeleza Ukweli Kuhusu Mada...

Post Image

Baada ya Alikiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music [Festival] lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefunguka na kuzungumzia tuhuma hizo pamoja na kilichompeleka katika tamasha hilo. Kiba alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic aliyokuwa anaitumia kuonekana kupata mushkeli/kuzimwa na kumlazimu kuondoka jukwaani na muda mchache […]

Read More..

Baraka The Prince Hakuniangusha – Alikiba

Post Image

Msanii Alikiba amefunguka na kusema kuwa msanii Baraka The Prince hakumuangusha kabisa kwenye wimbo wao wa pamoja ‘Nisamehe’ Alikiba amesema kuwa kwake yeye ilikuwa rahisi sana kukubaliana na wazo la Baraka kwa kuwa msanii huyo kwanza anakipaji kikubwa lakini pia ni watu ambao wanaendana katika kazi. Alikiba alisema haya kupitia kipindi cha Planet Bongo ya […]

Read More..

Wema Awavaa Wanaomsema Vibaya Aunt Ezekiel

Post Image

SUPA-STAA Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, amefunguka kuwa anachukizwa na watu wanaomtolea matusi muigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel, baada ya kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa ya mzazi mwenza wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Akizungumza na Za Motomoto News, Wema alisema unatakiwa ufike wakati watu waelewe na waongozwe kwa akili zao za kuzaliwa […]

Read More..

Faiza Ally: Wasanii wa Filamu Tanzania Wata...

Post Image

Msanii wa filamu Tanzania, Faiza Ally amefunguka kuhusiana na mwenendo wa tasnia ya Bongo Movie inayoendelea kwa sasa. Kupitia mtandao wa Instagram, muigizaji huyo amedai kuwa kwa sasa uigizaji si kazi ya kuichagua kuifanya labda uwe na njia mbadala tofauti na iliyopo sasa. Katika wasanii ambao wengi watakufa maskini Tanzania ni wasanii wa filamu… Na […]

Read More..

Tausi Mdegela: Sina Mahusiano ya Kimapenzi ...

Post Image

Muigizaji na mchekeshaji kwenye tasnia ya Bongo Movie, Tausi, amesema hana mahusiano yeyote nje ya kazi na Hemed PHD huku akisema huwa wanakutana kambini na hana hata namba ya simu ya msanii huyo. Tausi ameibuka na kusema hivyo baada ya kuwepo uvumi wa kujimwaga na staa huyo ambapo aliiambia eNewz “Hemedy ni msanii mwenzangu tu […]

Read More..